Itaelewekaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Itaelewekaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by First Born, Jul 12, 2011.

 1. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nawasalimu wote!  Naamini kwamba ni suala la kupendeza na la heshima kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kwa maisha ya kawaida ya binadamu, lakini pia ni suala la kawaida wapenzi kukosana, ila issue inakuja pale hawa wapenzi wanapotumia huu ugomvi kama kudhalilishana, mara o mtu mwenye yuko vile, mtu mwenyewe hata kazi hajui, mtu mwenyewe.......
  inakuwa ful kudhalilishana tena hadharani mbele za watu,

  Lakini pia inafika mahali hawa wapenzi wanarudiana,

  Sasa inapofikia hatua hii jamii inawaelewaje watu hawa??

  Hii imekaje wakubwa??
   
Loading...