'Nilitendwa' ni dudu linalotafuna ndoa zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Nilitendwa' ni dudu linalotafuna ndoa zetu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MORIA, Jul 12, 2011.

 1. M

  MORIA JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nina 11yrs ktk ndoa ,pia ni mwl wa vijana nasonga mbele - amen, nakumbushia tu mapenzi kabla ya ndoa ni hatari na kuna maumivu mbelee, kuna suala la 'kutendwa'(ulaghai katk mapenzi) kila mtu anayajua maumivu yake,na kama mwanandoa hatamwachilia (samehe & sahau) huyo aliyemtenda basi huyo mtu atarudi haraka na kuisambaratisha ndoa hiyo..,hii ni formula ya hatia..ndipo tunaona watu wakiingia ktk ndoa na miguu 2 (kujihami kwingiii)..ktk ugomvi mdogo tu, ndipo sasa haya huanza; 1,kulinganisha-utasikia 'nyie kwani ni watu, ktk hili ndiyo maana tuliachana na flan nk' vile vile utakuta maneno mengi sana yenye kuudhi na kukata tamaa eg, huu ni msalaba wangu, najuuta kuwa nawe nk....naomba mchango/uzoefu wako ili nijifunze kutoka kwako!
   
 2. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ni kweli sana uliyosema, watu wanapenda ku2mia ex km reference hasa wakati wa ugomvi. M2 anaweza kumwambia mumewe, wewe sio km flani, mbona flan alikuwa ananifanyia hv we inakushinda nini, na wengne huvuka mipaka kwa kuwatamkia wenz wao bora nimrudie fulani au kukashfu nyeti za waume zao.usinitishe na kipenseli n.k .,..,wanaume nao utackia akikashfu maumbile ya wenza wao na pia utackia mwanaume anamwambia mkewe ktk wanawake wazuri nawe utaenda. Sasa mambo haya huleta majeraha sn ktk ndoa na if hawasameheani kuna ndoa kuvunjika. Pia kwa wale walioanza kufanya ngono kabla ya ndoa mahusiano hufa physicaly tu ila spiritualy bdo unaandamana na yule mwanamke au mume. Ukiwa mjanja ukishakosea repent na vunja ule muunganiko kwani sex iwe ndani au nje ya ndoa huwafanya mwili mmoja. Imagne umeshakuwa na wapenz zaid ya mmoja, unadhani umegawanyika mara ngapi hapo? Mwili vipande vipande hauwezi kujenga ndoa imara, lazma utubu (toba ya kweli) ili uweze kuvikusanya vipande ulivyovitapanya, hii itasaidia kujenga ndoa imara otherwise, kutendwa, kuachwa kutaendelea kwako.
   
 3. M

  MORIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Asante Sabry..,hakika umeenda mbali zaidi..,sijutiii kuingia jf maana nidarasa tosha kabisa..
   
 4. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Laiti tungekuwa tunafuata haya tungekuwa tunasimama vilivyo na ndoa zetu.
   
 5. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Ugomvi kwenye ndoa upo ila hilo la kutukanana kutumia ma x sijawahi sikia. That is too much.
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie haya mambo mmeshawahi kuyasikia au mnaongea tu. Kweli mke au mume anaweza tamka maneno kama hayo na maisha yakaendelea??? Sijawahi sikia hili aisee.
  Labda kwa urafiki wa kawaida si wa mume na mke.
   
 7. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Darasa tosha........................sijui niongeze nini hapa...........Bee Gee, "How deep is your love"


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  seems unaishi uzunguni my dia ila ukikaa uswahilini mbona yapo? Wanatukanana wanasuluhshwa then wanarudiana wanatukanana tena....ndio maisha yalivyo....na hao wanahesabu wako ktk ndoa.
   
Loading...