Condom inaposuluhisha ugoni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Condom inaposuluhisha ugoni!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ligogoma, Jul 11, 2011.

 1. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,134
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF!!!

  Baba mtu mzimaaa alikuwa anatembea na kabinti aged kama 18/19 hivi ni mwanafunzi wa QT na mbaya zaidi alikuwa anatumia kitanda anachotumia na mkewe wa ndoa. Huyu mzee alitumia advantage ya urafiki baina ya ndugu zake anaoishi nao ambao ameamua kuwaendeleza kielimu kupitia QT kwa kuja kujisomea pale home then ye anamvuta binti chumbani anarekebisha kisha anarudi kuendelea na discussion na wenzie sebuleni.

  Siku ya siku mama kapata taarifa ya mambo yanayotkea kwa anavyojua ila akaweka mtego wake na akakusanya watu nje baada ya kuwa na uhakika mtego wake umewanasa, wakaingia ndani na kuwafurusha wagoni hao huku mamia ya watu wakisubiri binti mgoni atolewe nje.

  Mara mama katoka na condom imechafuka haja kubwa na huku imejaa mbegu za kiume, akasema `kwa kuwa mwenzangu analiwa hii kitu basi nimemruhusu awe mke mwenzangu mdogo naomba ondokeni na muwaache`.

  Umati ule uliichukua ile condom na kuzunguka nayo mtaani wakiimba nyimbo za ajabu ajabu kuhusu tukio na condom yenyewe, mwisho wa siku wakaenda kuiweka mlangoni kwa kina huyo binti mfumaniwa. Mpaka naondoka huu mtaa ni takribani wiki mbili sasa sijaua binti yuko wapi ila baba anapeta na ndoa inaendelea kama kawaida.

  Maswali yaliyojaa kwa wengi walioona hili tukio ni, Mama aliacha kuchukua hatua zozote kama alivyokuwa amepania sababu ya condom kwamba alijua binti analawitiwa au nini?

  Hebu na wewe mwana JF utalichukuliaje tukio kama hili? Ni kwamba wanapendana sana au ndoa imekomaa??
   
 2. m

  mareche JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  du napita
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Dah!! Hii kali..... I'm speechless!
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  duh....
   
 5. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mtafute binti mkuu utupe full results......
   
 6. B

  Babu mchumi Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Huyo mama hajiamin,anamuogopa mumewe!
   
 7. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,278
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  Mmh kazi ipo
   
 8. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hata wewe ukifumania mkeo analiwa na kondom kuna uwezekano mkubwa sana wa kusamehe
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tuombe mungu atuepushe na gharika nyingine
   
 10. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Dah!.... Nitarudi.
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  hebu tuambie mkuu....ni mtaa gani huo unaouzungumzia hapa...maaana hujatuambia hata ni mkoa gani
   
 12. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mhhh mbona balaaaaaa
   
 13. Mnyang'anyi

  Mnyang'anyi Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  ... eti nini???
   
 14. Mnyang'anyi

  Mnyang'anyi Member

  #14
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  ...amen!!
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,517
  Trophy Points: 280
  ngoja nikapige box kwanza ....ntarudi
   
Loading...