Ukweli ndio mapenzi ya kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli ndio mapenzi ya kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, Jul 12, 2011.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani wana MMU hapa mwenzenu yamenikuta kujifanya mkweli kwa kila jambo....Jana jioni mama karudi toka kwenye mihangaiko yake, kama kawa nikamhug kimahaba, tukakissiana kama, tukavutana kuelekea MANSION kwetu, sasa hapo kiama kikaja baada ya kumwambia..."Mama kaoge kwanza maana jasho limekupiga sana", mwenzenu kusema tu hivyo mama kaja juu, mie nanuka au sio? nenda katafute wasionuka na maneno kibao tu...Nikajiuliza, mbona nikimwambia leo nimepata hiki hufurahia, nikimwambia jana fulani kanitextia ujumbe huu usome anafurahi....Je, ni vitu gani tuambiane ukweli na vipi tusiambiane? niko Dilema jamani....
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Uongo kidogo is allowed,.......aaaaaaahahaha!
   
 3. charger

  charger JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mkuu hapo ulisema ukweli but utaratibu uliotumia ndio ulioleta tafrani ungetumia hekima kidogo,ungemsubiri mke wako ili mje muoge pamoja "sweet was just waiting 4 u so that we can take a bath togather" uone kama mambo hayajaanzia hukohuko bafuni
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahaha lohhhh

  Magu bana pole sana..
  Ulichomwambia ni sawa..
  Ila njia au njinsi ulivyomwambia dahhh
  Uliharibu...

  Ungeremba kidogo, weka maneno mawili
  Matatu matamu..au vipi..
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kabisa mkuu..
   
 6. A

  Aine JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pole sana. Huyu mwanamke mwenzangu naye ananishangaza, mboana hilo ni jambo la kawaida kwa wapendanao jamani?
  Nakushauri, next time ukiona ana majasho kama hivyo, wewe mwambie twende tukaoge mpenzi wangu, hata kama wewe umeoga nendeni tu ili asifikirie vinginevyo. Ila na wewe ulikuwa na haraka sana, kumbuka mlikuwa mmefurahi, ghafla unamletea jambo la kumuudhi, ungevuta subira kidogo pengine asingekasirika
   
 7. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaha Igwe make i no laugh small ooohhhh....kuna ka ukweli hapa maana...ukigusa kwao tayari ugomvi na unajua wanajua sana where to get u....Ukitaka mkate wa kila siku utaona unageuziwa makalio wakati wa kulala....
   
 8. n

  neyro JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  lol. ulimpokea, ukamhug, ukamkis, ukamvutia kunako....., basi hata bafuni ungempeleka ! kauli uliyo2mia imemkera as far she was exhausted na pilikaz!
   
 9. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu asante, lkn najitetea kidogo, ujue mie nikirudi mara nyingi huwa akija kwangu namwambia natoa ng'e eeehhh anacheka kweli nakimbia bafuni kuoga....
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole kaka, mbembeleze kiss zakumwaga atakusamehe,lakini na wewe hata mie yangenikera.
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,650
  Trophy Points: 280
  Huyo hajiamini!!
   
 12. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwanza AD ujue hapo namwambia hivyo tayari jikoni yale mambo ya LIZZY yalikuwa tayari...niliremba utadhani ndo siku ya kwanza tunakutana...Hapo AD najua kusema mpaka yeye ananambiaga najua kusema...UKWELI UMENIPONZA au?
   
 13. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  lkn ndo aninyime hata mkate wangu wa kila siku?
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Halafu kakimbilia kunyimana mavituuzi jamani...ugomvi wowote yeye anakimbilia kule tu....nakwambia niliandaa mishumaa, ma wine acha tu...ugomvi ukaharibu kila kitu....
   
 15. charger

  charger JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Sawa mkuu but kila mtu ana threshold yake kuhimili matani we unaweza but mwenzio hawezi,may be she also had along day huko alikokuwa ndio maana akawa sensitive hivyo.Na kila mtu akichoka anakua easily kukasirika
   
 16. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu asante sana lkn mbona sasa kakimbilia kuninyima ile zawadi ya Ushindi au kunikomoa?
   
 17. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dah nitafanya hivyo...sasa leo niandae nini akija afurahi?
   
 18. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Anajiamini sana mkuu..she is one in zillions...
   
 19. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  yawezekana eeehhhh...leo naandaa yale mambo ya LIZZY ya kufa mtu....na ma sorry kibao au sio mkuu?
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,650
  Trophy Points: 280
  Matendo yake hayaoneshi kujiamini,mtu anaejiamini hawezi kukasirika anapoambiwa ukweli,unless unatania na thread yako hii,kama ni kweli aliropoka hayo ukweli ni kuwa hajiamini!
   
Loading...