"Why women leave men"

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
katika story, bibi yangu kaniambia ili mwanamke akupende hakikisha mvuto haupotei nkauliza mvuto gani ? akasema sababu zote wanawake wanazotoa ni kukuzuga tu, LACK OF ATTRACTION will make a woman to leave you,ni mvuto gani ambao haumkimbizi mwanamke au haumwondoi kwenye uhusiano?
 
Your assumption is more applicable to why men leave women than vice versa...
ni wanawake wachache saaana leave their Men eti sababu mvuto umepungua..
Siamini kwa kweli for katika relationship/ndoa mtu ambae ni rahisi kupoteza
mvuto ni mwanamke kuliko mwanaume... observe saana hili, unakuta watu wanaoana
then miaka mitano tu the dude yuko vile vile, mwanamke kazaa watoto wawili
na Mungu wangu, sometimes unakuta wakiwa na Hubby hata hawapendezi as a couple...
Sio sababu tu ya unene... No Wengine ni wanene but look good, but ile hali ya kujiachia...
 
Your assumption is more applicable to why men leave women than vice versa...ni wanawake wachache saaana leave their Men eti sababu mvuto umepungua..Siamini kwa kweli for katika relationship/ndoa mtu ambae ni rahisi kupotezamvuto ni mwanamke kuliko mwanaume... observe saana hili, unakuta watu wanaoanathen miaka mitano tu the dude yuko vile vile, mwanamke kazaa watoto wawilina Mungu wangu, sometimes unakuta wakiwa na Hubby hata hawapendezi as a couple...Sio sababu tu ya unene... No Wengine ni wanene but look good, but ile hali ya kujiachia...
nnachomaanisha kama mwanaume anamvuto kwa mwanamke haijalishi makosa ,culture,family,religion,hivi vyote si issue kwa women ila kama "mvuto" umepungua they can be used as a negative forces for a woman to leave?
 
nnachomaanisha kama mwanaume anamvuto kwa mwanamke haijalishi makosa ,culture,family,religion,hivi vyote si issue kwa women ila kama "mvuto" umepungua they can be used as a negative forces for a woman to leave?


Read between the Lines SL, nimekuelewa na nimekujibu pia.... check hio part ya statement then soma tena post...


....ni wanawake wachache saaana leave their Men eti sababu mvuto umepungua..
 
Back
Top Bottom