Hivi kuna uhusiano gani kati ya urefu wa mwanamke na mapenzi/kupenda? huwa inanitokea,mwanamke akinizidi urefu huwa naishia mzuka kabisa hata awe mzuri vipi. Nimejaribu kuuliza marafiki wa karibu...
she is my friend, alikuwa na mahusiano na mwanaume wakaachana, sasa hivi hajabahatika , wale wanaomtongoza sasa hvi weng ni waume za watu so inakuwa ngumu kuwa nao, sifa zake ni msichana black...
wengi walio kwenye uhusiano mpya huwa wanapenda kumwambia au kumuelezea mpz wake historia yake ya kimapenzi uko alipo toka,utakuta mpz wako anakwambia yaan nilikuwa sijatulia kweli yaani nilikuwa...
Habarini za asubuhi Mabibi na Mabwana, leo katika harakati zangu za kuongeza Maujuzi katika Sekta ya Malavidavi, nimepitia mitandao mbalimbali nikakutana na hii kitu na nimeona ni vyema nikashea...
Wadau, miaka kama mitatu iliyopita nilikuwa na bibie mmoja wa Kihispania, alikuja bongo kwa mwaka na nusu, wazungu hawanivutii but this girl was exceptional, labda kwa vile alikuwa na hips na ****...
Wandugu, :sad:
Ni GF wangu ambaye kwa kipindi kirefu ka miez 3 hivi tumekuwa kwenye mis'understandings, na nimemuomba sana msamaha but amekuwa mgumu kunisamehe.
Cha kushangaza ni kwamba kila...
Swali, kuna sifa ya kuanzisha uzi?
Nimeuliza hivyo kutokana na baadhi ya watu humu kuanzisha nyuzi/threads bila hata kuangalia kama kuna alieanzisha wazo kama hilo. Naombeni nitoe mifano ya nyuzi...
Kwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kuipongeza serikali kwa juhudi iliyofanya kuhakikisha kuwa Brazil wanakuja bongo kutupa raha ili tusahau machungu ya maisha makali.Lakini kwa upande...
mapenzi yapo hapa?
unampigia simu asubuhi kujua anaendeleaje na ameamkaje then hapokei?
na je ni kwamba siku nzima yupo bize na kazi kiasi kwamba amekosa muda wa kujua nani kanitafuta siku nzima...
Ninampenzi wangu ambae tunakalibia miaka 2 ya mahusiano yetu,wakati ninamtongoza nilikua nataka awe dem wa kupiga na kusepa,lakin cha ajabu kaning'ang'ania mpaka huwa anitoa pesa some time...
Ni kwanini unapomuhitaji mtu kwa siku za husoni unakuwa karibu sana na yeye then baada ya muda unaanza kuwa bize?
Mara unaanza kuwa bize,simu zake hupokei,visingizio...
Hii Wana JF,
I have a serious problem affecting my life and my marriage. It was in 2008 when i met a College girl, and as we met she was trying so much to attract my eyes to fall in love with...
Ni kawaida sana mwanaume anapoku tayari kuwa na mwenza kutangaza nia! Dada mwenye sifa zifuatazo atapokelewa kwa moyo mkunjufu; black beuty au rangi ya chocolate, age 20-22, mwenye maadili ya...
we mwanaume umekutana na mwanamke ukampenda, ilivomwambia akakujibu kuwa ana mtu, siku zimepita kidogo akaja kuvutiwa na ww pia hivyo akakukubal. mapenz yenu yamenoga sana mpaka msichana akataka...
Wadau usiku huu nipo alone, mamsap kasafiri wiki ya tatu sasa, usingizi shida mno sababu ni mtu wangu wa karibu mnoo kweli nina mmiss vilivyo.
Ukiwa peke yako mawazo na kumbukumbu nyingi...
Mi nalala nikiukumbatia mto wangu na machungu ya baridi kali katika jiji hili lenye miamba kibao!Hongereni wenye mablanketi ya ukweli,sisi wacha tupambane na ndoto za mahaba ila asubuhi kazi ya...
mimi ni mdada nina miaka 29 ninatafuta rafiki wa kiume mwenye sifa zifuatazo.
1 miaka 33-37
2maisha ya kueleweka
3 awe mkristo na awe na hofu ya MUNGU
4awe mrefu kiasi na mweusi
5 awe na afya...
Naomi baby! Mitaa ya SEKEI Arachuga hiyo 1999 mwezi wa saba nilikuwa pande hizo. Nlikuwa kwenye ki shop cha cosmetics cha bro wangu! Naomi alikuwa anapita hapo kila asubuhi ananisalimia bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.