Nimfanyeje kiumbe huyu.....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimfanyeje kiumbe huyu.....?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ladywho, Jun 26, 2011.

 1. l

  ladywho Senior Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!
   
 2. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mpe second chance kama na wewe wampenda
  lakini kwa uangalifu
   
 3. l

  ladywho Senior Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sidhani km atabadilika. Idadi ya madem imeniogopesha, ctaki kufa.
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mradi umejionea mwenyewe haina haja ya kumsamehe endelea na msimamo wako my dia
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  sikiliza moyo wako dada...huwa haudanganyi!
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  mshukuru mungu kwa kukuepushia mengi kutoka kwake.endelea na moyo huo huo,hata kama hasikii kuwa wewe na yeye basi,mwache aendelee kulonga peke yake
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  advice is what we ask for when we know exactly what we should do bt we dont wanna do it! inaonekana kama unayo majibu. haya,fanyia kazi mamii. usitegemee kuwa na mtoto wa mwanamke mwenzio ukambadilisha kwa kiasi kikubwa,labda atake mwenyewe!
   
 8. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama unampenda kweli
  hebu mpe second chance kwa masharti uone kama atabadilika,
  kama ataendelea na hizo tabia zake mpendwa nakushauri uchape lapa
   
 9. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mh! mwaka mzima hajakuchakachua kweli?! kw mapenzi haya y cku hiz!! haingii akilini ht kidogo
   
 10. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  kampime ukimwi kwanza, halafu mwambie akajitambulishe kwa wazazi rasmi kuonyesha yuko siriazi.
   
 11. l

  ladywho Senior Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inawezekana ndugu, inategemea na m2.
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  sa we yanakuhusu nin mkuu,achakachuliwe/acchakachuliwe ni yeye mwenyewe na ki2mbua chake.
   
 13. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wewe msichana, always unapoingia kwenye mahusiano lazima unamkuta mwanaume ana mambo yake kibao, na nguo lazima utakuta tu, mie nilipoachana na x wangu sikuchukua nguo zangu ina maana mwingine akizikuta atasema naendelea nae wakati hata sikurudi nyuma, wewe sasa kuanzia hapo unaingia na sheria zako na mambo mengi tu, na atabadilika tu kama anakupenda
   
 14. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Labda nianze hivi 'No man is hero before a woman',invyonekana hukumpenda huyo jamaa kwa moyo wako wote,na kama unampenda unauwezo wa kumbadilisha mtu wako akawa katika hali nzuri,akaachana na kila kitu ambacho kinamaudhi kwako.Pia angalia na jaribu kujihoji mwenyewe why is he doing that?Chukua hatua jaribu kumdadisi kwanini anatenda hilo;hayo yote ni udhaifu wa wanadamu,usichukulie kwa hasira kihivyo.
  Pili usipende kumbania mtu wako kama mko wote,hiyo inampa yeye mwanya wa kutafuta vitulizio nje.KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kweli kabisaa.
   
 16. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Fuata moyo wako...
   
 17. s

  sirmudy JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hili nalo neno mkuu....., Mwaka mzima hajachakachuliwa.....?!
   
 18. l

  ladywho Senior Member

  #18
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nguo naweza nisizisemee, na msgs kwa sim je? Nazo walisahau? First expresion inadetamine mambo bdae yatakuwaje bwana. Mi ninachotaka asinisumbue sumbue tena.
   
 19. l

  ladywho Senior Member

  #19
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  vi2lizo kumi? Hapana jamani! Ningekuta kamoja ningewait ila vyote ivyo lazma ni mgonjwa wa akili.
   
 20. mito

  mito JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,616
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo we ladywho ulitegemea asiwe hata na msichana wa kupozea hata kama ni mmoja wakati wewe unakiri kuwa uko naye mwaka mzima lakini hujawahi kumpa. Kwa kifupi hakuna mwanaume wa hivyo unless ana kasoro. Kilichokusaidia hadi ukajua yote hayo ni kwa sababu umepekua kila mahali. We endelea naye tu kama kweli unampenda,ila kama walivyoshauri wengine uwe unambana lakini pia uwe unampanulia vinginevyo atarudia makoloni yake tu. Usibane sana dada yangu, hiyo kitu wanaume tunaipenda mno. Mwanaume yeyote (aliyefiti) hawezi kuvumilia mwaka mzima, ikishindikana kabisa hata Ohio ataenda.
   
Loading...