Form 3

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Najua mtanicriticize ila ndo hivyo imetokea....
Habari zenu kwanza...poleni na hali ngumu ya maisha ndugu zanguni!
To the point:
Ni binti wa kidato cha tatu...kwa tabia na sifa na maumbile anaonekana atakuwa kitu kikali sana...!
Kwa umri kweli ukilinganisha na mimi (working, nakaribia two yrs cnc graduation..) ni mdogo..
ila nahisi kama huyu binti atanifaa kuwa mke wangu kwa kweli. niko radhi kusubiri (na sijamwambia lolote!) but tu marafiki sana..kwa sababu ya my young sista. so ye huniita Mjomba since my sis is (was...she jus cleared form6) her school mum!
Wakuu ebu niambieni...kuna possibility apo ama niendelee tu na maisha!??
sina mpango mbaya na yeye..na nadhani hata reputation yangu hapa JF inanisupport!
Could I chill for her labda mpaka amalize form 6 walau nimwambie au nitafute tu mwingine!??
Kazi njema na ninatanguliza shukrani..!
 
Tafuta tu mwingine mkuu, hao watoto wa shule huwa wanabadilika....huu ni ushauri tu uamuzi unao mwenyewe!
 
Nakushauri uendelee na maisha yako bila kumwazia yeye manake akijapata mwenzake huko ajuako utajinyonga bure.
Sawa unania nzuri kwake ila form three bado hajachanganywa na dunia uone atakavyorespond.

Kuna mkaka alilea kake akajakuambiwa apewe shilingi ngapi aachike baada ya huyo binti kupata Msenegal hapa ARUSHA.
acha kabisa kaka yangu, kaburi hiloooooooooooooooooo
 
Tatizo ni kwamba anaweza kubadilika baada ya miaka michache!Zaidi ya hapo hamna ubaya wowote ili mradi usimchezee mtoto wa watu!Msubirie kama bado nafsi yako itakua imeridhika nae hapo baadae na mwenyewe akikubali fanya kweli!
 
Labda uko na miaka 30.....then usubiri mingine mitatu...then umwambie.......its a long short mkuu...see for urself kama inalipa kusubiri muda wote!
 
UNATAKA KUBAKA WEWE! UNAJUA KIFUNGO NI MIAKA 30 JELA NA VIBOKO KADHAAAAAAAA? OOOOOHOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!:hand:
 
UNATAKA KUBAKA WEWE! UNAJUA KIFUNGO NI MIAKA 30 JELA NA VIBOKO KADHAAAAAAAA? OOOOOHOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!:hand:

Kwa taarifa yako,
hawa watoto wa dot. com sijui kama kuna kubaka hapo,
Form three, wewe wasema ni mdogo?,
labda kigezo kiwe ni ile hali ya uanafunzi wake!!!
lakini si mdogo huyo, wanajua yote hao mpaka ya uvunguni!!!!!!!!!
kalaghabhao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama unataka kumsubiria öngea nae ujue ni mwanaume wa aina gani angependa kuwa nae. Inawezekana huna hata kigezo kimoja.
Naongea hiki kitu kwa experience yangu binafsi.
 
hapo la kuwa makini ni mabadiliko ya akili na tabia yake kadri anaokaribia utu uzima....!!usibabaike na umbile..!!:wink2:
 
Wakuu mkisikia uzinzi ulotukuka na tamaa mbaya ndio huu, yaani ushaanza kutamani kimwanafunzi, kwanza uache uonge kama kako f3 wewe unaweza kweli kukasubiri miaka zaidi ya 4 kweli :A S 13: mkuu unaelekea kubaya usikaharibie maisha katoto ka wenzio tafuta wa umri wako.....
 
tafuta tu mwingine mkuu, hao watoto wa shule huwa wanabadilika....huu ni ushauri tu uamuzi unao mwenyewe!

kweli kabisa mi yashanikuta kwa wawili tofauti, hawa ndugu zetu hawana moyo wa subira,,,,, form 3 bado mdogo sana hata akili yake yenyewe haiwazi vitu unavyowaza wewe, kwa hiyo utakuwa unamfosi kufikiria vitu ambavyo alitakiwa kuviwazia miaka mitano ijayo,,,,,

 
Naona ni bora umjuze mapema ili ajue, sio usubiri kumjuza miaka ijayo maana mambo yanabadilika.
 
Ina wezekana sana tumewaona wengi tu na wamewasubiri wapenzi wao na wanaishi kwa upendo mpaka leo. matatizo yakikupata ni mipango tu ya maisha uliyopangiwa kuyapitia. umri si kigezo kaka angu ila jiandae kwenda kumsubiri bilcanas huku wewe kipindi hicho unasinzia na kukoroma pembeni ya speaker
 
Wakuu mkisikia uzinzi ulotukuka na tamaa mbaya ndio huu, yaani ushaanza kutamani kimwanafunzi, kwanza uache uonge kama kako f3 wewe unaweza kweli kukasubiri miaka zaidi ya 4 kweli :A S 13: mkuu unaelekea kubaya usikaharibie maisha katoto ka wenzio tafuta wa umri wako.....

Sina fikra zozote za uzinzi ndugu yangu..namheshim kama mdogo wangu tu! Ila kwa kuangalia interests zake na jisni tunavyo bond tena easily tu..nikaona kuna posibility! usinichukulie vinbaya ndugu...
 
Naona ni bora umjuze mapema ili ajue, sio usubiri kumjuza miaka ijayo maana mambo yanabadilika.
Mapema kabisa ndugu yangu!?? Wewe ukiwa form 3 ulikuwa waweza kupambanua haya mambo kweli!?? Mimi naona kama naweza kumsubiri...au!??
 
Labda uko na miaka 30.....then usubiri mingine mitatu...then umwambie.......its a long short mkuu...see for urself kama inalipa kusubiri muda wote!

Sijafika 30 mkubwa..niko <25 but almost there! hapo je??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom