Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 24 nafanya kazi ktk ofisi ya Serikali nisingependa kuitaja kwa usalama wangu. Nimekuwa nikisumbuliwa na bosi wangu wa kike aliyenizidi miaka 9 kiumri na...
Naomba kuuliza wajameni, mtoto wa kike ukiwa na mahusiano na mtu unampenda kwa moyo wako wote, ukamficha baadhi ya mali zako ni sahihi kuwa unampenda au unajidanganya tu na nafsi yako? Mali hizo...
Matatani kwa wizi katika nyumba ya kulala wageni
Monday, June 20, 2011 4:20 PM
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Jackson[ 22] mkaazi wa Manzese, amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada...
Natumia rangi hii kwa sababu ya mada niliyoitoa. Nataka mchumba anayejiheshimu, mwenye upendo wa dhati, anayejiamini, anayependa kuonya na kushauri, muwazi na mvumilivu na awe na umbo kuanzia...
'Kidada' kwa kihehe ni tabia ya kususa...nilimuuliza rafiki yangu wa huko ira akaniambia ni katabia flan kanakoendekezwa kwa sana na wadada wa huko...huyu rafiki akahitimisha ukikijulia hicho...
Mara nyingi wanaojiita wapendanao, waachanapo hutokea kauli kama, nakutakia maisha mema, Mungu akujalie huko uendako na kauli nyingine zinazofanana na hizo. Mara hizi kauli humtoka muachwa. Swali...
Amwaga fedha kumpoza msichana wake wa kazi
Monday, July 04, 2011 10:59 AM
BAADA kutoweka nyumbani kwake kwa takribani siku nne kukimbia dhahama aliyemsababishia msichana wake wa kazi imedaiwa...
Top 100 things that attract women to men 1. Clear, beautiful and healthy looking eyes. Eyes provide an insight on the level of health of the individual, and healthy eyes indicate a healthy...
Ulikuwa haumfaham miaka michache,au pengine wiki au siku chache zilizopita,halafu leo unasema hauwezi kuishi bila yeye,unashindwa kula na kulala,very funny!!!!
WE talk about "sex games" and it sounds so jolly, but arguments about just what sexual behavior is and isn't OK cast a big cloud over some couples' lives together.
In general, I would say that...
Natanguliza shukurani dada zangu,
Hivi kwanini kina dada hujipamba hata kama ni mzuri wa kuzaliwa?
I mean wenye nyele nzuri wanzitoa na kuweka mawigi ,weusi wanajipaka madawa kuwa weupe,gharama...
So what do wives want from their husbands? Read on.
1. Stability. Maybe this is a tad cliché, but women WANT to feel safe and secure. They want to know that the man in their life is going to...
...umeenda ukweni kuchumbia rasmi,
baada ya utambulisho na wenyeji kuwapa muda 'mjisikie mpo nyumbani' , Baba mkwe anakutupia swali la papo kwa papo; ..." eti kijana, iwapo tumepata ajali...
What are dreams for..?
To be dreamt and then forgotten...or remembered but then forsaken?!
I ask for I dont know..weather to hold on to them or let them go!
Your face so visible and...
hili sebene linalopigwa kwenye bar ya jiran na maeneo ninapoishi linaniboa. Linampa wazimu my girlfriend kila ajapo gheto, imefikia hatua hatujadili mambo yetu wala kufanya mambo mengine ya...
mambo vip wana jf nahisi mko poa! Mi na ili tatizo nahis limeshakua kongwe ktk maisha yangu pindi ninapotaka kutongoza, nikiwa nimempenda bint ambae anavi2 ambovyo hwa navitaka, hwa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.