Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Matangazo mengi ya kazi wanataka watu wenye uzoefu wa muda fulani, mara nyingi wanasema miaka mitano. The same applies kwenye mapenzi. Kama unataka kupata raha ya mapenzi, kutana na mwenza mwenye...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Desteo is looking for a lady, who in the end can make a nice family. Desteo is tall, black, adequately educated Desteo is a loner, and now is looking forward to fight that loneliness. she should...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nahitaji furaha.........................jamani help me
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimekuta mtu ame comment kwenye mziki wa Boyz 2 Men hivi; "i want to get married just to get divorced to fall in love with another man and dedicate this song to him!! so lovely!!"...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimefunga mchakato wa kutafuta rafiki sasa majibu wiki hii hapa jamvini asanteni kwa ushirikiano wenu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
tabia mbayaaaa......,hv ni haki baba kutaka penz la mwanae japo c wa kumzaa ila wa kumlea.?hz pesa zitatumaliza manake na mtoto nae anaonekana kunogewa na chapaa za mzee na kula uroda...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
I really feel lonely today, soon i will be on my way out of office but dont know what to do to cheer me up!
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Wana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko...
2 Reactions
100 Replies
9K Views
Wengine mnawezafikiri natania ama ni story ya kupika kama porojo zingine ulizopata kuzisikia, lakini ni ajabu na nikweli. Kaka yangu wa kuzaliwa tumbo moja toka nitoke yaani hii tabia yake ya...
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Hivi inawezekanaje mpenzi anakutamkia kuwa muachane halafu baada ya muda anarudi kwako na samahani kibao? Wana JF nipeni uzoefu wenu.
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Najua kwa hili wengine watasema ohoo mbona alishasema mke wake anamnyanyasa yeye na mtoto wake, na wengine watasema mbona alisema mpenzi wake alipata mpenzi kwenye mtandao akamsamehe na wako wote...
0 Reactions
109 Replies
6K Views
Hali hivi sasa ni mbaya kimaadili, wazazi wanatukana matusi ya nguoni mbele ya watoto na watoto nao wanatukanana bila wowote. Hii nimeishuhudia hapa mtaani, mama alikuwa anamtukana mwanae wa miaka...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Am going 32 in some coming months now. I'm not married but i have a kid, it happened that am moving with a certain lady hapa mjini leo muda huu saa nne usiku nimepiga simu yake zaidi ya mara tano...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Wanajamii naomba tuijadili hii changamoto kwa kina Hivi kuna mapenzi ya kujilazimisha kupenda? Na kama umejigundua ulipenda kusiko sahihi unaweza kumwambia mwenzio waziwazi kuwa...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Ndugu wapendwa kwa wanaotarajia kuoana siku ya jumamosi ni vyema mkaweka vyombo vyenu vya magari kupunguza sababu za kutofika kanisani..mwisho na watakia mgao huu wa mafuta wa ngeleja hope mtawahi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wana jf mm na mpenzi wangu tuna hamu ya kuishi pamoja,lakini mpango wa kufunga ndoa mpaka sasa haueleweki.je?2naweza kuishi pamoja halafu ndoa baadae kama nyinyi wengine? msaada tafadhali.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
SIFA: Awe na elimu minimum form 4 + any professional cetificate awe serious na mpole kidogo, awe mwembamba (slim) na urefu kuanzia 160cms kwenda juu. mwenye bahati yake ambaye anameet hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajameni Kuna rafiki yangu kanifuata kuniomba ushauri afanyaje nami nikaona niombe msaada hapa jamvini, Baba yake ni Dereva wa magari ya mizigo anaesafiri mara kwa mara mikoani na hata nje ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu. Nimekumbwa na utata juu ya suala hili, siku hizi wakaka wengi kabla ya ndoa wanataka wahudumiwe kama kwamba tayari wameoa. Tendo la ndoa, Kufua, Kupika, Usafi wiki end na hata...
4 Reactions
110 Replies
9K Views
jinsia mo..hee!! kwa wale wapenzi wa radio clouds fm hasa muda wa asubuhi...lazima mtakua mmeshakutana na kibwagizo hiki mara ule muda wa usomaji wa magazeti unapofika!! my take: Huwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom