Poleni na makali ya mgao wa umeme wakuu!!naomba kueleweshwa hili suala,kwa nin kila mdada anapopgwa sound na man kwa mara ya kwanza lazima aseme eti ana mpz wake na tena wanapendana sana hata kama...
habari zenu wana jamvi.mimi nipo ughaibuni huku nasoma,sasa kuna msichana mmoja tuna uhusiano wa karibu miezi kumi sasa.kabla yangu mimi huyu msichana kashawahi kuwa na relationships mbili,wa...
Wanawake wapo wa aina nyingi na wanatofautiana kwa kiwango kikubwa. Lakini nataka kujua mwanamke wa aina gani anafaa kuoa? Anayefanya kazi--askari, daktari, mwalimu,mwanasiasa,mfanyabiashara ...
Mimi nilikuwa ktk mahusiano na na mtu kwa muda wa miaka 3,ila ktk miaka hiyo nimekuwa na matukio mengi hasa katika swala la mahusiano mwenzangu aliwahi kuwa katika mahusiano zaidi yangu! Kwanza...
Tulikua na kijana wa kazi kutoka iringa,tuliishinae kwa takribani miezi kumi na tatu lakini alikuja kudhihirisha tabia zake za ulevi kupita kiasi,kiasi cha kusahau majukumu yake.mwisho wa siku...
Habari zenu wapendwa wa mmu, ningependa mnipe ushauri kwa kilichonikuta mwenzenu, nina girlfriend wangu ambaye uhusiano we2 una mwezi1 sasa, ashawahi kuniambia kuwa aliachana na ex boy wake...
WanaJF kama kawaida hii ndio kona yetu ya kubadilishana mawazo. Leo kuna jamaa yangu yamemkuta makubwa..Ni hivi: Anaye mke wake mjamzito wameishi pamoja sasa karibu miaka mitano.Mwanzoni mwa ndoa...
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 24 nafanya kazi ktk ofisi ya Serikali nisingependa kuitaja kwa usalama wangu. Nimekuwa nikisumbuliwa na bosi wangu wa kike aliyenizidi miaka 9 kiumri na...
Naomba kuuliza wajameni, mtoto wa kike ukiwa na mahusiano na mtu unampenda kwa moyo wako wote, ukamficha baadhi ya mali zako ni sahihi kuwa unampenda au unajidanganya tu na nafsi yako? Mali hizo...
Matatani kwa wizi katika nyumba ya kulala wageni
Monday, June 20, 2011 4:20 PM
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Jackson[ 22] mkaazi wa Manzese, amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada...
Natumia rangi hii kwa sababu ya mada niliyoitoa. Nataka mchumba anayejiheshimu, mwenye upendo wa dhati, anayejiamini, anayependa kuonya na kushauri, muwazi na mvumilivu na awe na umbo kuanzia...
'Kidada' kwa kihehe ni tabia ya kususa...nilimuuliza rafiki yangu wa huko ira akaniambia ni katabia flan kanakoendekezwa kwa sana na wadada wa huko...huyu rafiki akahitimisha ukikijulia hicho...
Mara nyingi wanaojiita wapendanao, waachanapo hutokea kauli kama, nakutakia maisha mema, Mungu akujalie huko uendako na kauli nyingine zinazofanana na hizo. Mara hizi kauli humtoka muachwa. Swali...
Amwaga fedha kumpoza msichana wake wa kazi
Monday, July 04, 2011 10:59 AM
BAADA kutoweka nyumbani kwake kwa takribani siku nne kukimbia dhahama aliyemsababishia msichana wake wa kazi imedaiwa...
Top 100 things that attract women to men 1. Clear, beautiful and healthy looking eyes. Eyes provide an insight on the level of health of the individual, and healthy eyes indicate a healthy...
Ulikuwa haumfaham miaka michache,au pengine wiki au siku chache zilizopita,halafu leo unasema hauwezi kuishi bila yeye,unashindwa kula na kulala,very funny!!!!
WE talk about "sex games" and it sounds so jolly, but arguments about just what sexual behavior is and isn't OK cast a big cloud over some couples' lives together.
In general, I would say that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.