Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani Madadiito na Mamito. Lets Plan a Get together This weekend for all the Dar Members. Najua issue ya usama wa taifa kutukusanya kama kuku lakini msijali. It will be difficult to trace who...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Nakumbuka enzi zile ilikuwa inatokea sakata la kura kupigwa kwa kila mwanafunzi kutaja nani anatoka na nani hapo shuleni, balaa linakuwa kwa wale watakaoangukiwa na kura hizo
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani kuna kisanga kimetokea leo. Dada mmoja amekwenda kumtembelea mpenziwe baada ya kutoka chuoni (yuko likizo) na ktk kupitiapitia DVD'S zilizokuwa ktk shelf sebulen kwa mpenzie, mojawapo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Usione watu wanaishi kwa furaha wako ndani ya yesu wanakula utamu wa yesu ...aijalishi unashida gani ukiwa unakula utamu wa yesu wala akuna kinachoshindikana,,ndugu mpendwampenzi nimeona mungu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mke wangu mpendwa! Nimekuwa nikiandamwa na msongo wa mawazo siku za karibuni kwa kuwa sasa nadhani nimefikia mwisho sina budi kukueleza aina ya mume uliyekubali kuwa naye hadi mungu atakapo...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika...
0 Reactions
273 Replies
19K Views
TODAY we, have bigger houses but small families… More degrees but less common Sense.. Advanced Medicines But Poor Health... Touched Moon But No Contact With Neighbor… High Income But Less Peace Of...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume.Naomba kuuliza hivi ni mbinu zipi bora na sahihi za kumwomba mpenzi msamaha pale unapomkosea ili aweze kushawishika kusamehe? Wana JF naombeni mawazo yenu.
0 Reactions
37 Replies
30K Views
Heshima wakuu, nikiwa mtoto wa mwisho na mvulana pekee katika familia hii nimekuwa sina mahusiano mazuri na huyu dada yangu wa kwanza. Yeye hana matatizo nami, ila mimi nikiwa nae nakosa amani...
2 Reactions
80 Replies
6K Views
Msema kweli hakika, huyo mpenzi wa Mungu, Kalamu nimeishika, nilisemalo ni langu Beti ninaziandika, mzisome dadazangu, Dada zetu mna mambo, mambo yenye vijimambo. Dada zetu mwatutega, twategwa...
15 Reactions
52 Replies
6K Views
waungwana,mie ni kijana wa miaka 31,matafuta mchumba anaeishi mwanza,kama kuna alie tayari anianbdikie kwa mashakayurita@ymail.com
0 Reactions
12 Replies
3K Views
watu wengi wanasema hasa jinsia ya kike,eti kumwambia mpz wako nakupenda kwa kila wakati ni vibaya kwasabu eti unampa kichwa na kujionesha kuwa unampenda sana.je ipo sawa?
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Alizwa Pesa na Hawara, Arudi Kwa Mkewe Kuomba Radhi Tuesday, July 26, 2011 6:09 PM HASSAN ABDUL [39] mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, amemuangukia mke wake kwa kutembea kwa kutumia magoti...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hiki ninachoandika hapa ni kisa cha kweli kilichotokea hivi karibuni. Umeoa na ndoa yako ina miaka miwili hivi na mnatarajia kupata mtoto (mkeo mjamzito) na kwa mila zetu za kiafrika mama wa mume...
0 Reactions
20 Replies
19K Views
Hey guyz l nid ur help coz am comfused l dnt knw hw can l turn back my trust to believe girlz? I thnk zis is tha cycological prbm 2 me.and anaza thng is why zis gals ar like zis? Are they after...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
@ARUSHA, baba mngoni , mama mchagga Kuchoma maziwa ni namna ya kiasili hasa West AFRICA the goal is to make mdada/binti less desirable to boys -- and stave off pregnancy Chuma (iron rod) au jiwe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Binafsi inanishangaza ninapoona machangudoa wanavuta sigara hadharani japo inakuwa ni usiku. Lakini kwa mwanamke mwenye heshima zake mnamchukuliaje?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Unajua mapenzi sio lazima mpaka ufike nyumban upewe maji ya moto la haasha kuna wengine tuna mapenzi na bunge letu na kila siku tunatamani kuona mungu wakifanya kitu fulan kwa ajili ya taifa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Before ulikuwa na kiasi lakini umeenda ahospitali hivi karibuni wanasema ni zero kabisa,,,sikujui hunijui lakini mungu ndie anajua hajaya moyo wako..mkeo anakaribia kukukimbia na ndugu wamekucheka...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Najua watu wanakutana wa wenza wa maisha yao katika mazingira tofauti. Kwa mimi ilikuwa hivi; Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa nasoma kwenye gazeti la majira majina ya wanafunzi waliochaguliwa...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom