Hivi kwanini wanaume wengi awaridhiki?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwanini wanaume wengi awaridhiki??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 11, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  Pengine waweza jiuliz a kwa nini wanaume wengi hata wakutane na wanwake kama malaika wasiojua kutoka nje lakini wanashindwa kujiheshimu??je wewe ni mmja wa haka kagonjwa??
  Wenye uzoefu tusaidiane jamani!!
   
 2. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tushaaambiwa baioloji zenu ndizo zinafanya msiridhike
   
 3. B

  Bonge JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 865
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 80
  kwa sababu ni wanaume
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hivi mkuu unajua ni kiasi gani cha hormone (testosterone) kinamwagwa kwenye damu ya dume kwa siku?? Wenzio hormone zao zinazunguka na lunar cycle na kwa hiyo hawako chini ya pressure ya chemical moja tu kama sisi!!

  Hata hivyo tushukuru sana maisha ya siku hizi yenye mishe mishe mingi...vinginevyo na huu utandawazi tungewapiga bao babu zetu ambao kwao minimum ilikuwa ni 2-3 wives!!
   
 5. talentboy

  talentboy JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,626
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  coz matamanio ya mwanaume yapo karibu zaidi!na ndo maana kwa kultambua hlo dini ya kiislamu ikatoa ruhusa ya mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ili kukidhi haja!
   
 6. sigachuma

  sigachuma JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwako tu? Au story za kitaa ndo unasikiaga
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  mbona waliooaa wa nne nao wana nyumba ndogo na wengine kufanya wafike 7 to 8 uoni bado sio soln
  msaada tutani
   
 9. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sasa mie nataka mwanaume wangu matamanio yake ayalete kwangu aone kama hajachoka mwenyewe
  nikishindwa ndio aniletee habari ya baioloji not now najijua kila akitaka nitamtimizia tu, nia ninayo, uwezo ninao, na hamu pia ninazo
   
 10. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  itategemea kama utakuwa mbunifu na unajua kujipamba na kujitunza kila siku atakuona mpya na matamanio ataya elekeza kwako, na wewe umesema utamwonesha kwa kuwa kazi unaiweza.... haaaa haaa

   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  kama tunagaiana mbegu kwa nini na hiyo bailogia tuigaiane kipindi cha nanii
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu manyanza'
  Hata wanawake zao wanaolewaga mara nne nne ila diniairuhusu kuweka hadharani kwa mwanaume kwa mwanamke ruksa na ndio maana
  nenda kaulize mwanamke alieolewa mke wa tatu ama wa pili nje ana starter si chini ya 4-6 za kumboost akikutana na jamaa mwenye mali
  aanafurahia kapata style mpya kumbe wenzie wanamsaidia ujuzi
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Yangu macho ..
   
 14. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Astakaffirurah*3 , manyanza, manyanza my friend.............
   
 15. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ndio manaake maana baioloji baioloji, na mimi nitamwambia baioloji yake ailete kwa mwenzake kila ikileta mushkeri
  mpaka ajute kuzaliwa, nafanya kalkulation ya uzalishaji wa mbegu kama mkuu DC alivosema, yale mamilioni nagawanya kwa siku za mwezi mzima ili nijue kwa siku atahitaji vingapi
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  no comment coz inanihusu sana..
   
 17. v

  vegule Senior Member

  #17
  Aug 12, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 18. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni tamaa tu inayosabaisha haya na ukweli ni kwamba wanawake wote hawana sawa

  PIA: Wengine zimefunguka utazani bwawa wengine hata baada ya miaka bado zinabana
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
   
 20. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
   
Loading...