migao

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
471
95
du hii migao imezidi huku arusha leo ni siku ya tatu hatujaona umeme , mafuta pia mgao shell zote zatoa mafuta kwa mgao , maji pia mgao bila umeme maji hakuna huku, chondechonde msije kuleta migao nyumbani na baa kwani baa bia ndo zinatuluwaza baada ya kusubiri sana umeme vijiweni nyumbani ndo kabisaa mama watoto anamalizia liwazo mara nikosapo bia
 
Back
Top Bottom