Hello jf!kuna galfried wangu wa zaman alinigunduaga kwamba nimemtongoza rafiki yake{ni kweli},bac ikatokea nkamuomba msamaha but mmanzi akachomoa,akashauri 2achane 2,nkawa kila nkimpgia cm au...
Once a stranger...
You were once a stranger...
a man with character...
but yet could not be read like a blank piece of paper.
I asked for your name and you did the same...
was that fate?! I...
Ukizingatia kwamba, kuwa na ndoa imara ni kitu muhimu sana ili kuwa na afya na furaha, italeta mantiki kuelekeza nguvu zenu katika kuifanya ndoa yenu kuwa bora zaidi. Hapa chini kuna vidokezo kwa...
Habari za jioni wadau? Nipo nabadilishana mawazo na rafiki yangu ambaye anataraji kuajiriwa na kuwa mwalimu, lakini anachonishangaza eti hataki mwanaume ambaye ni mwalimu kama yeye. Jamani hivi...
mambo vp wana jf, kuna jamaa yangu mmoja ameoa kama miaka nane imepita.
alikuwa anafanya kazi katika shirika flani hivi mitaa ya singida.
mnamo mwaka 2006 aliachishwa kazi na hadi hii leo bado...
Mlipooana tu sex ilikuwa hot, exciting na full speed! Na mlikuwa mnasemezana kwamba hata siku moja haitakuja kubadilika hata hivyo baada ya watoto kuzaliwa na majukumu kuongezeka hata bila...
Hebu na tujadiri hili.mtu unatafuta mpenzi kupitia gazeti au mtandao.bahati nzuri anaandikiwa na watu tuseme 20.wote anaamua kuwatafuta.je hata kama atapata mmoja wa kumfaa, mnadhani ataacha...
Huyu jamaa anaitwa Paul,anaishi katika manispaa ya Moshi,ana uhusiano wa kimapenzi na Ex wife wa mjomba wake,anataka kumuoa anataka kujua kama atapata baraka za ndugu na jamii inayomzunguka,wewe...
Wandugu kwema?
Jamani mimi ni mdau wa humu siku nyingi sana ila nimekutwa na makubwa mwenzenu.
Siku tatu zilizopita mke wangu alikuwa amelala hospitali akimuuguza ndugu yake. Baada ya mimi kuwa...
Watu wengi huwa wanajaribu kuunga mkono suala la kutoa mimba pale ambapo wahusika hawakupanga kupata mtoto. Wengine hutetea kitendo hicho eti kama msichana akibakwa basi anahaki ya kutoa. Kuna...
Katika yale mambo yetu ilinitokea mwenzangu kuwa ananihabarisha kila kinachoendelea,sababu sifa yake kuu ilikuwa ni kuongea kwa kulalamika wakati wa shughuli.Kilichonishangaza ni kuwa mwenzangu...
Kuna dada mmoja.ni rafiki yangu tunafanya naye kazi na tumetoka naye sehemu moja. Huyo dada aliunga urafiki wa kimapenzi mwaka juzi na kaka mmoja anafanya kazi wizara ya ardhi uhusiano wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.