Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimesikitika leo baada ya kumwona Mwanamziki ajulikanae kwa Jina la JAFFARAIH anaendesha gari ya Shyrose banj Toyota Herrier na anaingia kwake leo tarehe 6/8/2011!Kwajinsi alivyo mwanika kajamaa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
What is the purpose of your mariage?Nini lengo na matarajio ya mahusiano uliyoanzisha?Wengine hudai wametoka kwao wameacha chakula,vitanda nk ila hakikuwepo kitu kimoja tu(sex)je hiki ndo...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Kubebana! Kwa nini jamii nyingi za vijana wa leo huchukua uamuzi wa kuanza kuishi pamoja kinyumba kabla ya kuoana rasmi na ndipo kuanza maisha?Wengi hutoa sababu nyingi mojawapo ni kuokoa fedha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
ninakaka yangu wa pekee ktk familia ya watu 5.ameoa mwanamke wa kioldmoshi.jamani dada huyo hafai.kwa uchoyo,mdomo na ubinafsi.kuna siku kaka yangu alitoa elfu 50 kumpa mama yangu imsaidie...
1 Reactions
170 Replies
12K Views
Wote sisi, kama binadamu huwa tunashikwa na hasira kutoka muda fulani hadi mwingine, lakini kushikwa na hasira na kuziacha hasira hizo ziwaumize wale tunaodai kuwa tunawapenda ni jambo tofauti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya furaha za mwanzo za maisha ya pamoja kuna baadhi ya wanaume huanza kunyemelea nyumba zao wenyewe. Mtu toka anatoka kazini anapiga mahesabu ya jinsi gani ataingia nyumbani bila kusababisha...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
<FONT size=3></FONT><SPAN style="COLOR: #ff0000"></SPAN><IMG id=vbattach_35094 class=previewthumb alt="" src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=35094&amp;stc=1"...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wanajamvi!!! Hasa wa mambo ya mapenzi(MMU) .Huenda tukawa tunafana kimahisia mimi na wewe, .huenda pia huu ndo ukweli halisi hata kwako, .huenda ilishawahi kujadiliwa humu jamvini...
2 Reactions
100 Replies
9K Views
Hivi ni kwa nini wanawake au wasichana wanavaa nguo zinazoacha matiti yao wazi? Ni ujanja au ni ujinga na upumbavu na ukosefu wa maadili? Mbona watanzania tunapenda kuiga mambo mabayo tu kutoka...
1 Reactions
63 Replies
15K Views
kuolewa .......
0 Reactions
42 Replies
9K Views
X wangu amegeuka hataki tuachane, nimemuonyesha msimamo wangu, sasa amekuja na sharti/ombi jipya. Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu. I thought she was jocking but dud, she keep...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
USIMWACHIE YEYE TU JITUME OOHThursday, April 29, 2010Usimwachie yeye tu Kwa kuwa mume huwa na hitaji kubwa la sex katika ndoa mara nyingi (siyo mara zote), hii husababisha sex kuwa suala la...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Naamini kila jambo lina faida na hasara zake. Lakini je kutoka nje ya ndoa kuna faida zipi hasa? Na hasara zake ni zipi? Pekee ninalolijua miye kwa personal experience, inasaidia sana kumheshimu...
0 Reactions
97 Replies
10K Views
Heshima kwenu jamani mwezenu nashindwa kufaham kuhusu hili jambo nimemtumia mkewangu pesa za shughuli maalum kijijini kama m2 hivi natumepanga mipango pamoja hizo pesa ziende kijijini kwenye...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Fumanizi husababisha hisia zenye maumivu, hasira, kutokuaminiana, woga, aibu na kujilaumu. Lakini kufumania au kufumaniwa hakupaswi kuwa sababu ya kuwa mwisho wa ndoa yenu, ingawa kunaweza kuwa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza kwa nn mtu akioa mwanamke anaye mzidi Elimu ndoa haidumu hasahasa akikuzidi elimu na kipato ndo balaaa..Je nini tatizo?
0 Reactions
92 Replies
9K Views
0 Reactions
5 Replies
2K Views
EAST AFRICA HERALD: Over 500 couples tie the knot in mass wedding
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aisee mapenzi ya sekondari yalikua sweet sana. Wakati huo mtu ulikuwa unapendwa just for being yourself. BF/GF alikuwa haihitaji chochote kutoka kwako other than your love and companionship...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Hivi mmemsikia huyu sharobaro anae2pa vilift wadada anavyoua?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom