Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni kawaida kwa wadada au?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Aug 7, 2011.

1. Perry

Perry JF-Expert Member

#1
Aug 7, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 9,900
Likes Received: 571
Trophy Points: 280
Hello jf!kuna galfried wangu wa zaman alinigunduaga kwamba nimemtongoza rafiki yake{ni kweli},bac ikatokea nkamuomba msamaha but mmanzi akachomoa,akashauri 2achane 2,nkawa kila nkimpgia cm au kumtext harespond,bac na me nkaamua kumpotezea.well umepita mwaka hadi sasa,leo mchana nimejarbu kumtafuta kwenye cm amepokea,2meongea fresh 2,nkamuomba msamaha kwa yalyotokea,nkamgusishia na kuhusu kurudiana nae,akanikubalia..hvi hi ni kawaida kwa wadada kusamehe na kurudiana haraka haraka na wapenz wao wa zaman au me napigwa changa la macho wakuu?

2. M

Makubi Member

#2
Aug 7, 2011
Joined: Apr 19, 2011
Messages: 6
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
changa hiloo

3. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#3
Aug 7, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,205
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Hiyo haraka haraka unayoiongelea ni ipi maana umeshasema mwenyewe alishakukatalia mwaka umepita sasa!!

4. Perry

Perry JF-Expert Member

#4
Aug 7, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 9,900
Likes Received: 571
Trophy Points: 280

sa c leo nimemsaundsha tena,hata hajaniulza ka nna m2 au vp ye kakubali 2 2rudiane ukzngatia ni muda mrefu ha2kuwa na mawasliano.

5. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#5
Aug 7, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 931
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Wewe ndo ungetuuliza matatizo yako kwa sababu inaonekana kuwa una mapungufu na matatizo makubwa kuliko hata huyo dada!

6. arabianfalcon

arabianfalcon JF-Expert Member

#6
Aug 7, 2011
Joined: Oct 19, 2010
Messages: 2,293
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
Mwaka mzima hama habari na wewe,lakini weye bado tuu,au ndio anaekufikisha siuseme2 kua wewe kwake upindui kwenye Manjonjo!

7. Aggrey86

Aggrey86 JF-Expert Member

#7
Aug 7, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 856
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Sasa c umshukuru amekubali angekataa ungemsema tena niaje broo vp ulitaka akatae au iweje?

8. Remmy

Remmy JF-Expert Member

#8
Aug 7, 2011
Joined: Jun 9, 2009
Messages: 4,613
Likes Received: 62
Trophy Points: 145
Mhh Hapo wacwac, ila ingia mguu mmoja ndani moja nje mwangalie.

9. Mr Suggestion

Mr Suggestion JF-Expert Member

#9
Aug 7, 2011
Joined: May 2, 2011
Messages: 604
Likes Received: 117
Trophy Points: 60
May be alipokuwa kajiegesha kwa huo mwaka mmoja alifanyiwa kitu kama ulichomfanyia wewe mwaka mmoja uliopita sasa wewe umeonekana unakauafadhali kuliko pale alipokuwa so ameamua kukurudia. Ingawa napata wasiwasi kama ni kweli au umeleta story tu.

10. BADILI TABIA

BADILI TABIA JF-Expert Member

#10
Aug 7, 2011
Joined: Jun 13, 2011
Messages: 28,698
Likes Received: 3,582
Trophy Points: 280
akili kichwani mwako

11. arabianfalcon

arabianfalcon JF-Expert Member

#11
Aug 7, 2011
Joined: Oct 19, 2010
Messages: 2,293
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
Bwana weye upo? umebadili Avatar na mwenzio macho yashakua yakitukizima umenipa mtihani wa kukutafuta,vp hali yako lakini na Ramadhani?

12. sweetlady

sweetlady JF-Expert Member

#12
Aug 7, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 16,984
Likes Received: 66
Trophy Points: 145
anakutega huyo ! Yawezekana ashakanyaga miwaya so anataka akukanyagishe na wewe! Usiingie kichwa kichwa. Tafakari kwanza then uchukue hatua!..

13. tama

tama JF-Expert Member

#13
Aug 7, 2011
Joined: Dec 15, 2010
Messages: 603
Likes Received: 1
Trophy Points: 33
Ukitaka kumla bata usimchunguze saaaanaaa.

14. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#14
Aug 7, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,200
Likes Received: 173
Trophy Points: 160

Back to Black - Army Winehouse

15. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#15
Aug 7, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 15,268
Likes Received: 1,537
Trophy Points: 280
Kastori kako kazuri japo kakupika! Hongera mtafute kanumba waweza muuzia hiyo!!

16. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#16
Aug 7, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,741
Likes Received: 423
Trophy Points: 180

sweet upo? Hebu changia hii post kwa niaba yangu. Mi natoka.

17. sweetlady

sweetlady JF-Expert Member

#17
Aug 7, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 16,984
Likes Received: 66
Trophy Points: 145
Nipo mpendwa! Mzima weye? Waelekea wapi na giza lote hili Husni?.. Naomba nikufuate jaman!

18. wende

wende JF-Expert Member

#18
Aug 7, 2011
Joined: Sep 6, 2009
Messages: 683
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
watch out asije akawa anakutega for what you did to her? Kwani huyo rafiki yake umeishia naye wapi?

19. Nazjaz

Nazjaz JF-Expert Member

#19
Aug 7, 2011
Joined: Jan 20, 2011
Messages: 4,760
Likes Received: 356
Trophy Points: 180

mmekutana binadamu wawili wenye mafaiza foxy a.k.a majini mahaba

20. A

Ave Ave Maria JF-Expert Member

#20
Aug 7, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 10,761
Likes Received: 22
Trophy Points: 0
Haraka haraka haina baraka.......wahenga walinena.

Loading...