Nimfanyaje huyu house girl wangu

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Wandugu kwema?
Jamani mimi ni mdau wa humu siku nyingi sana ila nimekutwa na makubwa mwenzenu.

Siku tatu zilizopita mke wangu alikuwa amelala hospitali akimuuguza ndugu yake. Baada ya mimi kuwa huru basi nakaamua kutandika maji ile kisawasawa. Nilirudi majira ya saa tisa usiku nikiwa niko bati. Nilivyofika nyumbani dada akanifungulia mlango. Akili yangu ikanituma nimuombe dada penzi. Yule dada akawa mkali sana, nikajaribu kumlazimisha kwa kumshika akaning'ata mkono na kukimbilia chumbani kwake.

Basi nikaogopa watoto wasije wakaamka kwani walikuwa wamelala na bibi yao yaani mama yangu. Huyu dada sasa hivi namwona aibu na ninaogopa asije akamwambia wife. Shida ninayoipata nikamsalimia haitiki, nikimtuma kitu hafanyi kwa kweli ananidharau sana. Pia inabidi niwe karibu na wife mda wote kwani naogopa asije akamwambia.

Nimeomba ushauri kwa baadhi ya marafiki wengine wananiambia nikitaka niwe salama eti nihakikishe natembea nae na wengine wananiambia nimshawishi mama tumfukuze kazi.

Tatizo lako ushazoea kubaka inaelekea angekuwa mkeo yupo hme ile kufika bed tu ungemparamia huo pia ni ubakaji kama ulikuwa hujui,yani hata aibu huoni unaomba penzi kisa mkeo hajupo for some few daiz akisafiri si utamuomba mpaka mwanao wa kike?ol in ol mwisho wa ubaya ni aibu
wandugu kwema?
Jamani mimi ni mdau wa humu siku nyingi sana ila nimekutwa na makubwa mwenzenu.

Siku tatu zilizopita mke wangu alikuwa amelala hospitali akimuuguza ndugu yake. Baada ya mimi kuwa huru basi nakaamua kutandika maji ile kisawasawa. Nilirudi majira ya saa tisa usiku nikiwa niko bati. Nilivyofika nyumbani dada akanifungulia mlango. Akili yangu ikanituma nimuombe dada penzi. Yule dada akawa mkali sana, nikajaribu kumlazimisha kwa kumshika akaning'ata mkono na kukimbilia chumbani kwake.

Basi nikaogopa watoto wasije wakaamka kwani walikuwa wamelala na bibi yao yaani mama yangu. Huyu dada sasa hivi namwona aibu na ninaogopa asije akamwambia wife. Shida ninayoipata nikamsalimia haitiki, nikimtuma kitu hafanyi kwa kweli ananidharau sana. Pia inabidi niwe karibu na wife mda wote kwani naogopa asije akamwambia.

Nimeomba ushauri kwa baadhi ya marafiki wengine wananiambia nikitaka niwe salama eti nihakikishe natembea nae na wengine wananiambia nimshawishi mama tumfukuze kazi.

Dada mbona unanisimanga? Ilikuwa ni ulevi tu

Sio kukusimanga, huo ndo ukwel. Inaonekana ni tabia yako. Unafanya makusudi hlf unasingzia ulevi. Na hao vilaza wenzio wanaokushauri utembee naye kwel na wao wanatembea na mahausegarl wao? Achen kuendekeza ngono mtakufa nyie!!

Jamani tumsaidie ndugu yetu! si kumlaumu. Pombe mbaya sana! mimi pia ilitokea ila haikuwa kama ya kwako kaka. Pole kaka kaza moyo

Wandugu kwema?
Jamani mimi ni mdau wa humu siku nyingi sana ila nimekutwa na makubwa mwenzenu.

Siku tatu zilizopita mke wangu alikuwa amelala hospitali akimuuguza ndugu yake. Baada ya mimi kuwa huru basi nakaamua kutandika maji ile kisawasawa. Nilirudi majira ya saa tisa usiku nikiwa niko bati. Nilivyofika nyumbani dada akanifungulia mlango. Akili yangu ikanituma nimuombe dada penzi. Yule dada akawa mkali sana, nikajaribu kumlazimisha kwa kumshika akaning'ata mkono na kukimbilia chumbani kwake.

Basi nikaogopa watoto wasije wakaamka kwani walikuwa wamelala na bibi yao yaani mama yangu. Huyu dada sasa hivi namwona aibu na ninaogopa asije akamwambia wife. Shida ninayoipata nikamsalimia haitiki, nikimtuma kitu hafanyi kwa kweli ananidharau sana. Pia inabidi niwe karibu na wife mda wote kwani naogopa asije akamwambia.

Nimeomba ushauri kwa baadhi ya marafiki wengine wananiambia nikitaka niwe salama eti nihakikishe natembea nae na wengine wananiambia nimshawishi mama tumfukuze kazi.

Mbona hapo kwenye rangi nyekundu pana tofauti kubwa sana na hapa pa bluu..!

Join Date : 3rd August 2011
Posts : 3

Rep Power : 0

Kaja kwa ID tofauti huenda

Usimwonee aibu, wala usimwogope na wala hata usimfukuze kaz. YES!! The only thing to do ni kumtreat kama hosegal, over. Kma unamtuma kaz hafanyi, anaonyesha dharau mkalipie. Anapaswa kujua who are u 2her. Wewe ni mwajir wake anapaswa kukuheshm no matte what. Nivigum sana kumwambia mkeo ulichomfanyia kwa kuwa eti unamtreat kwa kutokukuheshm. Najua ulichofanya ni matatz yetu wanaume, bt be care. USIRUDIE TENA. Hii k2 ni rahc sana kumvunjia mtu heshma ktk jamii. Be care.

Jamani tumsaidie ndugu yetu! si kumlaumu. Pombe mbaya sana! mimi pia ilitokea ila haikuwa kama ya kwako kaka. Pole kaka kaza moyo

akaze moyo wa nini? Kama ni pombe mbona anakumbuka muda aliorudi nyumbani,
.... mbona anakumbuka kuwa alimwomba akakataa,
.... mbona anakumbuka alianza kumlazimisha?
Acheni ufala, na huyo housegel angekuwa na akili kama yangu ishu ni dharau mtindo moja, asubuhi kuamka sa 3, kuosha vyombo sa 6 kudeki sa 10, angekoma kweli.

Pole sana mkuu
ninachokushauri we endelea kumchukulia kama house girl wako tu, mtume akikataa mkaripie na usijaribu kumfukuza yataibuka makubwa, na huwezi jua ukaribu wake na wife wako....

Dada mbona unanisimanga? Ilikuwa ni ulevi tu

Hapa ndipo tuaposhindwana tabia a baadhi ya watu. Wewe ulikuwa na ia kabisa ya kufanya ufirauni kwa kabinti ka watu. Nyie ndo mnasababisha hata ma hg wawe na viburi na wafanye mambo yasiyostahili kwa familia, mfao wa hg aliyemwambukiza mtoto HIV. Hivi wewe binti yako akifanyiwa hivyo na mtu mwingine kwa kisingizio kama hicho ulichotoa utajisikiaje? Acheni ubiafsi jamani mnachangia kuiharibu dunia, na hakika malipo ni hapa hapa duniani, na hiyo dhambi itakutafuna hadi ubaki mifupa mitupu.

ukome!!!!

mmezoea kuwakosea heshima wadada wa watu. pia mmezoea kuisingizia pombe. kama kweli ulikua umelewa kwa nini ulihofia watoto wako wasije wakaamka?

pia afadhali maana ule ukaribu ulokua humpi mkeo sasa unampa kwa kuhofia hg asitoboe siri. na huyo hg mwache akudharau tena azidishe kukudharau maana umemvunjia heshima mkea na yeye pia.

Mbona hapo kwenye rangi nyekundu pana tofauti kubwa sana na hapa pa bluu..!

Join Date : 3rd August 2011

Posts : 3

Rep Power : 0

Hata wiki moja nayo ni siku nyingi.

Back
Top Bottom