Wakuu nina maswali..

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,632
4,509
Katika yale mambo yetu ilinitokea mwenzangu kuwa ananihabarisha kila kinachoendelea,sababu sifa yake kuu ilikuwa ni kuongea kwa kulalamika wakati wa shughuli.Kilichonishangaza ni kuwa mwenzangu alinihabarisha mara nne kuwa nimemfikisha palipo kabla hata mimi sijamaliza awamu ya kwanza.Sasa ninajuliza inawezekana?Na kuna yeyote ambaye alishatokewa na hali hiyo?Au ilikuwa ni njia ya kuhakikisha kuwa mtakatifu anaibiwa vizuri?

Ulikuwa unaibiwa mchana kweupe. May be foreplay yako ilikuwa nzuri ila kama ilikuwa shallow na kakuambia hivyo mhh nina wasi wasi hapo

Katika yale mambo yetu ilinitokea mwenzangu kuwa ananihabarisha kila kinachoendelea,sababu sifa yake kuu ilikuwa ni kuongea kwa kulalamika wakati wa shughuli.Kilichonishangaza ni kuwa mwenzangu alinihabarisha mara nne kuwa nimemfikisha palipo kabla hata mimi sijamaliza awamu ya kwanza.Sasa ninajuliza inawezekana?Na kuna yeyote ambaye alishatokewa na hali hiyo?Au ilikuwa ni njia ya kuhakikisha kuwa mtakatifu anaibiwa vizuri?

beware of fake orgasms

Inaonekana mkubwa ni mtaalam sana wa kuzigusa kuta za uke,ndio maana mwana mama anafikia kileleni mara nne, usimuache huyo, kuna wengine hata mara moja hatujawasikia kufika kileleni.Huyo kama ni mwizi basi ni mwizi mzuri......!!

Mmm! huyu hata kudanganya hajua na hata kama alitoka jela basi mara nne hata haja vuta pumzi? alitaka pesa ya kwendea Twanga pepeta.

Lakini kaka mimi mwenyewe nina tatizo yaani first round chini ya dk 3o bado sijaimaliza na wakati mwingine inakwenda mpaka 45 dk na ndio maana nikaona nipate msaada kwa huyu mwenzangu.

Na vilevile nimeuliza wakuu,kama kuna yeyote ambaye alishatokewa na hali hiyo anisaidie....hii ni kwa jinsia zote.

Lakini kaka mimi mwenyewe nina tatizo yaani first round chini ya dk 3o bado sijaimaliza na wakati mwingine inakwenda mpaka 45 dk na ndio maana nikaona nipate msaada kwa huyu mwenzangu.

Paka Mweusi, apart from hard drinks, do you take a 'spliff' or anything of that kind before mounting your bike?
There must be something unusual somewhere, au unavaa double protection? Hapa stimulation huwezi pata.

Mkuu nimependa uchambuzi wako lakini kwa ufupi tu ni kuwa situmii kilevi cha aina yeyote na wala sipigi puff(ganja) na kwa bahati mbaya sana siku hiyo sikuvaa sox kabisa..

Back
Top Bottom