Anangangania mlalo mmoja tu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anangangania mlalo mmoja tu!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 6, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,338
  Likes Received: 5,648
  Trophy Points: 280
  Mlipooana tu sex ilikuwa hot, exciting na full speed! Na mlikuwa mnasemezana kwamba hata siku moja haitakuja kubadilika hata hivyo baada ya watoto kuzaliwa na majukumu kuongezeka hata bila tahadhari tayari kila mmoja analalamika kisirisiri. Na mbaya zaidi wengine hulalamika kwa ndani hawasemi, ukweli unahitaji kukaa chini na mwenzi wako na kujadiliana na kumalizi kwani “small things matters”

  Malalamiko yafuatayo mara nyingi hutawala ndoa nyingi si zote:

  Mke wangu haniambii nini anahitaji tukiwa kitandani.
  Kama wewe ni mwanamke ukweli ni kwamba mume wako hawezi kusoma kile kipo akilini mwako, “men read news papers not minds” kama ulikuwa umeota kuhusu yeye au ulikuwa unatamani akufanyie kitu chochote wakati wa kuwa mwili mmoja, au unahisi akifanya kitu Fulani utajisikia kusisimka zaidi; mwambie na yeye ataipata point yako na si kula jiwe.

  Hataki kunyoa!
  Baada ya kuwa na watoto, baadhi ya wanawake husahau kabisa kiwembe kinauzwa wapi au kimewekwa wapi, inawezekana wewe unayesoma hapa ni mojawapo (walewale), wewe mwenyewe ni shahidi hukuwa na msitu mnene kama wa ikweta hapa kabla; ni kweli upo busy na mumeo anajua upo busy hata hivyo kujiweka safi ni tabia njema, mumeo analalamika kimya kimya! Looo!

  Chumbani anavaa kama yupo ofisini!
  Wakati wa honeymoon ulikuwa unavaa nguo za chumbani chumbani na ofisini ofisini, sasa mbona ukiwa chumbani unajifunika nguo gubigubi, ni kweli tangu uzae watoto umebadilika sana, umenenepa na mumeo anajua hata hivyo anahitaji kuufurahia mwili wako kwa wewe kuvaa zile nguo za chumbani ili akufaidi, unaficha mwili wa nini wakati ni mali ya mumeo.

  Anang’ang’ania mlalo mmoja tu!
  Anapenda missionary position tuu, kama mwanzo wa ndoa alikuwa anajirusha style zote basi inawezekana libido imeshuka na ni dalili kwamba hana hamu tena, jibu ni kuanza upya yaani umchumbie upya, ukifanya mchezo ataanza kupena kusoma vitabu kuliko sex!

  Hataki kulianza!
  Yaani kila siku ni mimi mwanaume kuanza hata kama mpo hivyo inatakiwa angalau siku moja na wewe uniambia unanihitaji.
  Inawezekana mwanaume hajui mwanamke anahitaji kitu gani katika mapenzi, mwanamke akiwa na mood nzuri anaweza kulianza, hata hivyo unachofanya na mkeo nje ya chumbani huweza kutoa npicha ya kile mtafanya mkiwa chumbani.

  Anaogopa watoto watatusikia!
  Kila siku tukitaka kuwa mwili mmoja mke hulalamika kwamba hadi watoto walale kwani watatusikia, nikifungua radio ili kumeza sauti za tunapokuwa mwili mmoja bado analalamika kwamba watasikia.
  Mwanaume lazima ujue kwamba “everything in women’s life is wonderfully connected” ni kweli huwa anawaza watoto watasikia au mlango hujafunga vizuri na matokeo anaweza asipate raha kamili, ni jukumu la mwanaume kuhakikisha usalama na privacy kabla ya kuanza kung’ang’ania kuwa mwili mmoja​
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,338
  Likes Received: 5,648
  Trophy Points: 280
  Linapokuja suala la kupata mtoto (conception) wengi huongea mengi hasa ni mlalo upi (love making position) unafaa zaidi ya mwingine.Je, mlalo mzuri kwa mwanamke ni upi?Ingawa kuna tafiti chache sana kwenye hili suala jambo la msingi ni kufahamu nini huwa kinafanyika kule ndani baada ya mwanaume kuachia sperms mle ndani. Hahitaji kuwa mtaalamu wa kuzungusha mwili ili kuwa na matokeo bora ya kutengeneza mtoto bali ni ubora wa zile mbegu na mazingira ya kule zinapandwa.Kimantiki mlalo wa baba na mama (missionary position) unatosha kabisa kutengeneza mtoto Kwani huwezesha mpenyo wa uhakika (deep penetration) kwa mbegu kufika mwanzo au katika eneo la mapokezi (anterior) tayari kusafirishwa kwenda ndani na pia mwanaume kuingia kwa nyuma (rear entry/doggy) hupelekea mbegu kwenda moja kwa moja nyuma ya cervix (posterior) na kuhakikisha mtoto anatengenezwa.Kumbuka ubora wa mbegu ndicho kitu cha msingi Kwani mbegu kawaida husafiri umbali wa wastani wa km 45 kwa saa na chini ya hapo disaster.Jibu rahisi Hakuna umuhimu sana kwenye milalo kama suala ni kutengeneza mtoto mlalo wowote mtoto hupatikana kama mbegu ni bora.

  Je, ni vizuri kulala baada ya tendo?Wataalamu wanasema ni vizuri kulala (horizontal) baada ya tendo pale tu kama wakati wa kutengeneza mtoto mama alikuwa juu ya mume wake au mama alikuwa amesimama, hii ni kusaidia kuzipa mbegu gravity ili ziogelee vizuri kwenda kiwandani hata hivyo kama mbegu zilizotoka ni bora (healthy) bado zita swim na kupanda mlima wowote na kufika kiwandani tayari kwa kujichanganya na yai kufanya mtoto.Je, kufika kileleni ni muhimu katika kutengeneza mtoto?
  Ingawa mbegu huweza kuvuja na kwenda zake hata kabla ya kuruhusiwa wakati mwanaume ameshasisimuka, bado suala la mwanaume kufika kileleni ni muhimu ili kuzipa mbegu mwendao kasi unaotakiwa.
  Tafiti mpya pia zinapendekeza mwanamke afike kileleni wakati wa kutengeneza mtoto Kwani ile contraction wakati wa kufika kileleni husaidia kubeba mbegu kwenda kiwandani na hii huwa nzuri zaidi kama baba na mama watafika kileleni pamoja.Nahitaji mtoto wa kike au kiume je kuna aina ya milalo inafaa kwa kila jinsia ya mtoto.Hata kama kuna imani nyingi na hadithi nyingi kuhusu milalo na jinsia za watoto ukweli ni kwamba milalo haina uhusiano na jinsi ya mtoto.Kinachofanikisha jinsia ya mtoto ni timing ya siku mwanamke anapokuwa fertile na mara ngapi sex wanafanya katika hicho kipindi ambapo mwanamke anakuwa fertile.Je, ni mara ngapi nifanye sex kupata mtoto?
  kama nilivyoeleza hapo juu timing ndo wimbo wa mchezo wa kutengeneza mtoto. Kuongeza nafasi ya kupata mtoto ni vizuri baba na mama kufanya mapenzi siku moja au mbili kabla ya mama kuwa fertile au siku ileile ambayo mama anakuwa fertile.
  Pia ni vizuri mama kufanya mazoezi ya recording ya mzunguko wake ili kujua lini anakuwa fertile ndipo wafanye timing.Au mnaweza kwenda madaktari au maduka ya masuala ya mambo ya uzazi na mkanunua Ovulation Prediction kit na mkawa nacho nyumbani.NB:Ewe mwanamke usicheze na sperms kama huna mpango wa kushikwa mimba, kitendo cha kushikwa sperms na mikono yako then ukagusa ndani ya uke wako kwa vidole ambavyo viligusa sperms unaweza kushika mimba, au hata kama umevaa kufuli kitendo cha sperms kucheza ndani ya 18 hata kama una kufuli zina u-genius zinaweza kusababisha mimba.Kaa mbali na sperms kama huna mpango wa kupata mimba
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu thread zote hizo?Punguza bana!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,338
  Likes Received: 5,648
  Trophy Points: 280
  Mkuu pole sana unachukua cha kkuukusaidia unaacha makapi mku usiogope thread sigombanii cheo binfsi ni sub mod
  sema mod anashindwa kuwa email nikikaimu kupunguza maneno maneno bug up n well ntd nitalifikisha kwenye didiy
  companies waliangalie hili
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Lakini Pdidy! Uko juu na sijui una2mia kinywaji gani nikuseach popote uwapo Tanzania hii.
   
 6. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  thanx for usefull post
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,338
  Likes Received: 5,648
  Trophy Points: 280
  shantel light!!wewe??mkuu niko available kama uko karibu na kwa kakobe ukifika kwenye kakona kushoto kuna kagorofa
  mungu ametupatia kumsulubu kale kanyama chetu cha ugoni aka kitimoto unakaribishwa kuingia bure kula na hela
  karibu mkuu
   
 8. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  A wonderful thread indeed.
   
 9. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  nimeipenda thread no. Mmoja maana ndo nimeisoma bhana pdidy.
   
 10. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nzuri ndugu good work
   
 11. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu!
   
 12. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wanawake kwenye ndoa ni tabu sana. Laiti wangejua wanaume wote huchukua nyumba ndogo baada ya wao kubweteka na kujidai kila saa wamechoka. Inakula kwao mazima. Wote wanajua hata ndo maana wakifumania au wakiwakuta waume zao hawawapi talaka kwa kuwa wanajua kazi kunenepeana na kutokutoa huduma stahili kwa waume zao. Anayebisha ajitokeze.
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  nimesoma sred ya kwanza, ni nzuri.. Imetulia

  Ya pili ntaisoma tena kesho!
   
 14. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nice work and very detailed
   
 15. ram

  ram JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,203
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280

  This is wonderful! Thanks Pdidy,
  Hii ya kupata mtoto nitaisoma kesho muajiri anapiga mkwara kukaa kwenye net muda mrefu
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,338
  Likes Received: 5,648
  Trophy Points: 280
  hiyo soma na mpenzio ni muhimu ukiwa umetulia na Vaisroooooooooooooooooooooo pemben aahaaa am kiddin
   
 17. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pdidy twende mbele turudi nyuma, hiyo missionery position ndio yenyewe japo tunajitutumua kuwaridhisha na zile nyingine, ikifika zamu yangu akuuuuuu,sitaki makubwa
   
Loading...