Mlikuwa wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlikuwa wapi??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 8, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Hongereni wote
   

  Attached Files:

 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu kumbe wazee hivi lakini bira wamefunga harusi..
   
 3. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawa watakua wameanzana zamani, mana hapo tabasamu kwamba wanafurahia kuoana silioni.
   
 4. k

  kisukari JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  ndoa kama hizo,ndio zinazodumu
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Inawezekana ni ndoa zao za pili.
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Je wakati wa harusi nao tunawaimbia "Wanameremeta"?????
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  walikuwa bado wanatafutana
   
 8. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hahahahahaahhaha tetttetet labda ana mtoto wake anakaribia kupata upadirisho kwa hio ikabidi ashinikizwa kuuepuka usuria haraka
   
 9. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  duh bora lakini wamebariki, Mungu awaepushie mabalaa waishi pamoja milele
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kama ni ndoa wameeamua kufunga si kubariki nadhani ifike mahali tukubali kuwa tumechelewa.... Kwani mkiibariki pasipo kuvaa shela ha kupigiwa tarumbeta haiwi ndoa?
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  bora kuona wazee kuliko kuwa wazinzi yaani nyie mwakan mnaongeza mtoto ..aliepita anajua baba wanazini awajaoana..mwakani tena huyo aliezaliwa anajua baba wanazinzi sio nzuri mbayaaaaaaaaaaa pamoja na age lakini wanaenda mbinguni je we we mzinzi utaacha lini???
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  umeeoooonaaaa eeeh kwa hiyo tukae bila kuaoana jamani tukutane uzeeni tuondoke kwa amani kuliko kuishi na pressure ndan za nyumba mmh first lady kunakalika mwaya
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  hawa je unawapa siku ngapi??kupeana micharuko
  [​IMG]
   
 14. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  kwani unafikiri wao walikuwa hawazini?
  Tena nina wasiwasi hawa wamefunga baada ya kula nyama za bucha zote. Mwisho wa siku wakagundua nyama ni zilezile, ndo maana wameamua kurudi bucha ya jirani.
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  LAITI HIZI PICHA MKAZIWEKA NA KUZIJAZA VYUMBANI MWENU SEBULENI WALAHI NGUMI SIJUI ZINGEKUWEPO KILA UKITAKA KUMPIGA UNAMWONA WENZIO MOVENPICK KAMA HIVI YAKO UTAPIGIA WAPI
  NJOO KUNA KUTETERE BEACH HUKU KAWE KUINGIA BURE KUTOKA NA PESA
  [​IMG]
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Kwa mnofikiria kuoana jihadhari kwa kujaza gari mafuta wiki hii kwa vidumu yasikukute hya ya wenzangu kama wanasubiri matokeo pale udsm imenikumbusha mbali kweli hiii folen kweli ngeleja hana adabu kweli chonde chonde usimsimamishe bibiharusi kwenye hii folen ama ukagairi kisa akuna mafuta ndoa utafunga in jesus name ukaachike ukiwamkwako na sio sababau ya tajiri wetu engen anaetugaia mafuta[​IMG]
   
Loading...