Chukulia kwamba mpenzi wako anakosea mara kadhaa kutaja jina lako. Inawezekana siyo katika hali ya kawaida, bali hata wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Je ungefanyaje kama jambo la aina hiyo...
Kila niangaliapo wanaonizunuka nahisi kuibiwa kama wanavyoibiwa wao. na ukiangalia kwa undani wengine wanajua kuwa wanaibiwa, wengine wanahisi lakini pia wapo ambao totally hawaelewi kama...
Assume one day ukaenda kupima damu ukakutwa umeambukizwa HIV au nduguyo ametest positive(just assumption), utaendelea/utamshauri kuwa na mipango ya kuoa/kuolewa na kuzaa watoto? Kwa nini?
Ni wazi unawajua wanawake ambao wanaishi katika ndoa ngumu za manyanyaso hadi unafikia kuuliza, ‘hivi huyo mwanaume amempa kitu gani kikubwa hivyo?' Wanawake hawa nao wanakuwa wamefikia...
First of ol,nawapenda wanajf,..jaman,mbona hizi headings cjui titles sometimes na maelezo vinakuwa haviendani,2navutiwa na titles maelezo daah,ndo nini sasa
Habari tena wanajf..namefanya tathimini,wanajf nimegundua tunamasihara,yani tupo kwa jili ya kupoteza muda.wachache sana utakuta wanaongea serious,jamani mtu mpaka aeleze tatizo lake ni kwamba...
Za mida hii wanajf.nisaidieni kimawazo...nilibarikiwa kuwa na mtoto niliezaa na mzaz mwenzang,mtoto akiwa na miez miwil akanibwagia mtoto na kwenda kuolewa.nililea mwenyewe mpaka mtoto kafika umri...
jamani mie nataka kuuliza wanaume wanawezaje kufukuzia demu kwa muda mrefu au kutumia pesa katika kutuma sms au kumtoa outing na vizawadi vidogo vidogo? mie nimejaribu lakini baada ya siku 3...
wanajf natafuta mpenzi atakaekua mahabuba na sabuni wa roho yangu.Mimi ni mkweli,mwaminifu na si mbaguzi.ajitokeze mwanamke au mwanaume,mfupi au mrefu,mweupe au mweusi.nawasilisha
Fahamu kwamba mwanamke uliye naye ana siri nyingi alizoficha zikiwemo chache ambazo hukuwahi kuzifikiria hata mara moja.
Je, ulikuwa unafahamu kuwa kila kitu mwanamke anachonunua kuanzia nguo...
katika peruzi hapa na pale mtandaoni nakutana na hii kitu
It is Saturday evening and this writer and a friend decide to go out for a beer. We choose the Q-Bar in Msasani, which comes highly...
Je, ikitokea weekend umaemua kushinda nyumbani na mwenzi wako; yaani mchana na usiku (au kwa masaa 24), na ni dhahiri kabisa kwamba lazima ule...! Je, wewe ungependa kula mara ngapi kwa siku, na...
nina mtoto mmoja, baba'ke naishi nae bt we are not married. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao <br>
hadi nimepoteza uaminifu kwake. my ex boyfriend anataka tufunge...
Ni rahisi kutamkika na hata humu JF sio uncommon kukutana na statement ya "mke wa mtu sumu". Kwa upande wa pili, ni rahisi kukutana na statement "achana na nyumba ndogo, utaharibu ndoa yako". Hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.