wezi wa mapenzi

kwasababu mlango mmoja ukifungwa mingne inafunguliwa.....
 
Mwanamke akishaolewa anajisahau na ni hulka ya wanaume WENGI wakimuweka mwanamke ndani anaenda tena street kutafuta mwingine (tabia za jogoo ).
 
walikua na mambo mengi hata kabla ya ndoa, wanaendeleza
 
Kwakuwa mm mwanaume naona ya mwanamke2. sababu wanawake huji sahau na kuona kashafika huduma za uhawara huzipati tena na kulala utakuta kama mlizoea 5,6. ndani ya ndoa 3,2. imezid4 sa jiulize kma unapewa3 na unanguvu 5-6 utafanyaje kama co kutafuta pakumalizia hamu. na amini usiamin wanandoa hutoka nje kwasababu ya ngono au pesa. hakuna lengne
 
Back
Top Bottom