Ni muda upi unafaa kuwa mbali na mke au mume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni muda upi unafaa kuwa mbali na mke au mume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by pomo, Aug 4, 2011.

 1. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mambo vp wana jf, kuna jamaa yangu mmoja ameoa kama miaka nane imepita.
  alikuwa anafanya kazi katika shirika flani hivi mitaa ya singida.
  mnamo mwaka 2006 aliachishwa kazi na hadi hii leo bado hajapata kazi mbadala
  .kinachonifanya niwe hapa jf ni kwamba leo nimeongea na mke
  wake anadai kamuomba mshikaji talaka kwani hajakaa na jamaa tangu 2007 hadi leo.
  akimuuliza jamaa anadai bado anatafuta kazi, na nikweli jamaa anatafuta kazi hadi hivi sasa. je muda huu
  walio kaa mbali ni haki kweli wana jf. hembu nipeni dodoso kidogo
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  unataka kumtokea mke wa jamaa yako,.......acha sio vizuri eti tu sababu hana kazi,.........watu wengine bana
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  2007 mpaka 2011 hawajakaa mke na mume pamoja na and they still call it marriage. Huyo bwana huko aliko yuko single tuu miaka yote hiyo. Hebu akili zako changanya na za kuambiwa bana. Almost four years mke na mume wako mbali tena within the country japo hujasema mke yuko wapi. Na kinachomfanya asije kwa mke wake ni nini. Kwani huko kutafuta kazi si wangetafuta na mke wake wakiwa pamoja kama familia au kutafuta mtaji wakaanza biashara na mkewe. Mkuu hapo la kumshauri mwambie tuu mke awahi tuu kuomba separation na ikifika mwakani kisheria kama mke hajamuona mume wake kwa miaka mitano ndoa haipo tena yaani kama mke hajui whereabout of her husband for five years it presumed that there is no marriage between the two
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  inaelekea huyo mwanamke anataka talaka kwa vile mume hana kazi so mume ameona asubiri apate kazi ili ajue kama mke atataka iyo talaka ama la maana kukosa kazi kwa mume ndo tatizo.acha atoe tatizo kwanza
   
 5. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mwanamke amechelewa kuomba talaka..

  Nini maana ya kuoa..Kama mwanaume angekuwa Gerezani ingeleta maana.. Hakuna mahusiano hapo!
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Tulizo umeona eehh. Miaka minne yote jamaa yupo tuu hata kumkumbuka mke wake
   
 7. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  yaani bebii ndo maana ukawa mchumba wangu, si nilikuambia kabisa kuwa wanawake hawawezi kuvumilia? haya sasa naamini umeprove!!!!!!!!!!!!!:heh:
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ni huyo tu bwana mimi wa kwangu hata kama tunalala chini nakaa naye sema tu awe mwaminifu na wewe utaweza kuwa mwaminifu?
   
 9. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  si ndo maana nikasema mimi na wewe tunaendana kila kitu????????????????????
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmh wapi wewe?sidanganyiki? kuteseka niteseke mie kula wale wengine
   
 11. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mke yupo morogoro na jamaa yupo kigoma kwa sasa, jamaa anakaa kwa washkaji kwahiyo inakuwa ngumu kukaa nae, pia huwa wanawasiliana kwa simu
   
 12. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hata jamaa anasema anahitaji kuwa karibu nae na anampenda
   
 13. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  siwezi kufanya hivyo mkubwa ni jamaa yangu wa karibu sana
   
 14. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  miaka minne lakini huwa wanawasiliana kwa simu, na jamaa akipata chochote huwa hakosi kutuma
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ... NDOA ya Christian au Muslim?
  Kama ni christian kile kiapo cha shida na raha maana yake ni nini?.... Tunaposema SHIDA huwa mnategemea shida gani? au mnatamka tu ili muolewe? yaani km kutimiza wajibu tu? shida ikitokea mnasepa?
  Mwanaume na yeye miaka minne bila kukaa na mwanamke uliyemuoa kwa ndoa unategemea nini? nani atakayemuhudumia mkeo? nahisi huyo jamaa ana mke mwingine mafichoni , unaoa mke kwa miaka minne hujakaa naye bado unamwita mke! bongo hii hahahahahhah mpe pole jamaa mwambie akubali tu hiyo talaka mana huyo mke hawezi kuwa msikivu kwake tena! dunia ya sasa pesa mbele! kila kitu ni pesa mke anahitaji huduma!
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Jamaa anakaa na washkaji halafu anajihesabu ni mume?Kuoa/kuolewa maana yake siyo kuishi na wau wengine bali kuishi na huyo ulieoana nae!

  Huyo mwanamke ana haki kudai talaka kabisa hata kisheria inatambukila kama sababu ya kuachana maana huo ni utelekezaji! Jamaa anamfanya mke kuisi maisha ya majaribu makubwa. Hata vitabu vya dini vinatuambia mke na mume wasikae mbali ila kwa makubaliano ya wote wawili.
   
 17. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Na kama ana uwezo wa kutuma ela ya matumizi kinachomfanya asi save na kumtembelea wife ni nini? Hapo talaka ni haki kabisa' anamuweka mkewe kwenye majaribu buree.
   
 18. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mi naona jamaa ampe tu huyo mke talaka kwani kama ni kuvumilia jamaa amevulia sana na mke naye amejaribu kuvumilia ila kashindwa. Habari ndo hiyo!
   
 19. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mi naona jamaa ampe tu huyo mke talaka kwani kama ni kuvumilia jamaa amevumilia sana na mke naye amejaribu kuvumilia ila kashindwa. Habari ndo hiyo!
   
 20. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Usikute jamaa keshapata kazi na mwanamke mpya, kwa hiyo kaona bora amdanganye mkewe wa singida kuwa kazi bado hajapata, kwanza si angemleta tu mkewe wahangaike wote? pili kama kweli hajapata kazi mwambie mke ndio viapo vyenyewe alivyoapa, shida na raha ndio hizo kwa hiyo avulimie tu
   
Loading...