Hivi wenzangu huwa mnajisikia

lidoda

JF-Expert Member
Apr 27, 2008
641
574
Katika familia yangu nina mke wangu, kijana wa kiume na nina msichana. Vijana wangu wwana umri wa miaka 20 na msichana ana miaka 25.
Mimi huwa nachanganyikiwa na si siri huwa naumiwa endapo ’’nasifiwa’’ kuwa mke wako au binti yako ni mzuri. Nahisi kama huenda jamaa either wanamtaka mke wangu au binti yangu. Lakini huwa siumii sana endapo akina mama wanapomsifia kijana wangu kuwa ni handsome. Wenzangu mliokuwa na mabinti “mkasifiwa” mnajisikiaje?
 
"Mke wako au binti yako Mzuri"-ambiguous statement. unaweza kuitafsri kwa njia nyingi ila uzuri wa mtu unatokana na mambo mengi labda ufafanue zaidi. naomba nami nifikie huko nisifiwe kama wewe
 
acha ubwege wewe,sifa zimeubwa kwa wanadamu,,,wewe unataka usisifiwe kwa vizuri?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom