Nimeamua naenda mkoani......thanks JF!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
766
baada ya kusoma kwa umakini mkubwa ushauri wa wana JF...asubuhi hii nimeamka nina confidence ya ajabu hadi najishangaa.....nipo nimeshafika ofisi za hii kampuni nasign mkataba na safari itaanza MARA MOJA!!!

sijahitaji ushauri mwingine wa kaka wala mchumba

ni safari straight to meatu.........
Meatu here i come..................................Asante JF ...Asanteni wote...!!namomba mnitakie safari njema na maisha mema
 
  • Thanks
Reactions: BAK

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
766
yap yap...........sana sana ntapita njia ya kaskazini nikamuage yule mama yangu wa kichaga anipe baraka zake..........nichape zangu lapa njia ya babati-singida-tabora hadi shinyanga..............nipo bado namsubiri hr afike............atashangaa ntakavyokua naitikia ndio ya harakaharaka........

baadhi ya ushaur wa ma clasmets na vijana wa dar ulikua ...'utaondokaje dar bana'........mwingine..'tutakusahau'.....mwingine ...'kule hamna chalenge'..najuta kuwashirikisha..bora ningekuja jf straight!!

nimeanza kuamini watu wengi huwa tunakosea kufanya maamuz sahihi kw akushindwa kupata watu sahihi wa kutushauri.........i shall always speak good of JF./.............
 

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Kila raheli mkubwa pia nakutakia safali njema angalia maisha ya kesho sio unalidhika na maisha ya leo
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
Mkuu kachape kazi. Binafsi nilipoacha kazi kwenda wilayani wengi walinishangaa kwa nini naacha salary ya 500,000 kwa mwezi naenda 'porini' kuchukua 320,000 kwa mwezi! Uzuri kule 'porini' nikawa natengeneza zaidi ya 300,000 kwa mwezi mbali na salary. Good enough kuanzia January 2012 ntakuwa nakamata 1,200,000 kwa mwezi. Mkuu nenda kaijue Tanzania, huko utapanuka akili na kujua opportunies nyingine za kuwekeza toafauti na dar ambako uwekezaji pekee ni duka la nguo, saloon au bar.
 

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
766
na tayari nimeshasign mkataba wangu mpya na hii kampuni.............wataniskia tuu nikishafika huko NYC Meatu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom