Iringa,dar es salaam vyaongoza katika maambukizi ya ukimwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iringa,dar es salaam vyaongoza katika maambukizi ya ukimwi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PAMBA1, Sep 27, 2011.

 1. PAMBA1

  PAMBA1 Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nipo katika semina na watu wa AMREF morogoro katika takwimu waliyofanya wametwambia kuwa IRINGA ni mkoa unaoongoza kwa maambukizi ya ukimwi kwa 14.8% na ikifatiwa na DAR ES SALAAM 8.7% ikilinganishwa na takwimu za serikali ya 5.7 ya maambukizi kwa mikoa hiyo hivi sasa imevuka takwimu.
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nina shaka sana na tafiti za Tz.
  Iringa wanastahili hongera kwa kupenda zaidi yale mambo.
  OTIS.
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmmh! Hizi takwimu we mkaka umezitoa chocho ipi???!
   
Loading...