Maambukizi ya UKIMWI kwa wanandoa!!

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,759
794
Wana JF, imekaaje hii? Kuna baadhi ya wanadoa waliopima na kuonekana negative wakati wa kufungishwa ndoa, lakini in a long run, wanpima na kupatika wakiwa HIV postive. Hawa virus wanakuwa wametoka wapi?
 

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,740
742
In how long run, je wakati wa kufunga ndoa walipima mfululizo mara tatu bila kuchakachua kwa kipindi chote cha matazamio? Na je baada ya kuona wamekaa muda gani ndo wakapima na je kipindi chote walichokaa kwenye ndoa je hawajatoka nje ya ndoa? Ukijibu maswali haya basi tutakupa ufafanuzi. Ila ujue hata kama tutakupa ushauri bado majibu hayatabadilika na pia isije kuwa chanzo cha ugomvi kwenu wanandoa.
 

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Hilo suala lipo wazi kabisa, incubation period ni kama miezi mitatu hivi japokuwa baada ya wiki mbili tu toka mtu apate maambukizi mapya HIV Virus wanakuwa tayari wanaanza kuonekana kwenye mzunguko. Hivyo kilichopo hapo ni kuwa kuna mmoja wapo alikuwa ameathirika lakini kipindi wanapima alikuwa hajijui au alimnunua daktari ili aonekane mzima kumbe ni mgonjwa.
 

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,294
35,364
wana ndoa ndio wanaoongoza kwa kuvunja amri za MUNGU tena wanawazidi hata wale singles. wengine wana ndoa mpya kabisa yaani wana katoto kamoja tu lakini wanakula nje tena bila aibu wala woga. sasa kwanini wasipate maradhi.
 

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,363
1,117
Wana JF, imekaaje hii? Kuna baadhi ya wanadoa waliopima na kuonekana negative wakati wa kufungishwa ndoa, lakini in a long run, wanpima na kupatika wakiwa HIV postive. Hawa virus wanakuwa wametoka wapi?

Mkuu maelezo yako hayajitoshelezi .... Kwani ajabu wasipate kwanini? ... Si mmoja anaweza kuwa ametoka nje ya ndoa au... ? hukuweka hiyo condition kama haikuvunjwa ...!! Kama hakutoka na hiyo ni hakika ... possibility ni mbili

1. Incubation period ....wasnt taken care kwenye vipimo vyao..

2. Mutation has taken place ... HUMAN INDIGENOUS RETROVIRUS HIRV (Normal Flora) has chaged to HIV ....

Kuna baadhi ya watafiti hawamini kuwa HIV vinatoka nje ya mwili wa mtu ... ila baada ya immune shut down ... HIRV ..turns to HIV
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
hakuna lolote, mbona wengine huwa wanapiiiiiiiiiiiiiiiiima weeeeeeeeee, hakuna kitu wala msisingizie hicho kipindi cha 'kuatamia' ni ubazazi tu unaoendana na kumchoka mwenzio baada ya kuwa naye kila siku na ile kuwa unapata ile 'kitu' muda wowote unaotaka si ndio unaikinai na kuamua kutafuta ladha nyingine za pembeni. Huko ndo mambo yanakopatikanika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom