The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

Saas

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
268
0
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???
 
Kbd

JF-Expert Member
Oct 9, 2009
1,262
1,170
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???Mi nazani majibu yote ni sawa. Hata mimi napenda sana machapisho yao.
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,953
2,000
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???

A,B na C yote majibu sahihi
 
SaraM

Senior Member
Sep 8, 2011
162
0
Nilion mada ya mwanajamii juzjuz alikuwa anajitahidi kumjibu kila mtu anaechangia nahisi hiyo pia inakufanya ujisikie kupost na kupost, sasa wengine wakipost naona hadi page ya pili mwenye thread haonekani, waiii ya nn sasa
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,898
2,000
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???

^WIVU huo!
 
Memo

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
2,159
1,225
Nilion mada ya mwanajamii juzjuz alikuwa anajitahidi kumjibu kila mtu anaechangia nahisi hiyo pia inakufanya ujisikie kupost na kupost, sasa wengine wakipost naona hadi page ya pili mwenye thread haonekani, waiii ya nn sasa
hahahahahaaa!!!!
 
Sigma

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
5,013
2,000
Waweza kuwa expert wa kuchangia....
....Huenda thread zako hazina mashiko.
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,743
0
Mada zao zinaibua mjadala na zinajadilika na zinakufanya ufikirie kabla ya kujibu na ujibu kulingana na mada halisi
Japo hatusemi wengine hawana mada za kujadili ila thread zao nyingi kwa kweli ni changamoto

Ni kweli na kizuri zaidi huwa hawakimbii threads zao, wanajibu au kumuuliza mtu swali kitu ambacho kinaendeleza mijadala na kuibua ideas nyingine pia!
 
Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,189
2,000
Ni kweli na kizuri zaidi huwa hawakimbii threads zao, wanajibu au kumuuliza mtu swali kitu ambacho kinaendeleza mijadala na kuibua ideas nyingine pia!

Kweli kabisa na wanaendelea kuibua mijadala mingine within the same thread jambo ambalo linazidisha uchambuzi
Na ni za masuala ya maisha na malpenzi ambazo kwa kweli zina challenge nyingi sana za maisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom