Nimekubali co kila kitu ku2mia dawa ni kusema2 inakuwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekubali co kila kitu ku2mia dawa ni kusema2 inakuwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chavka, Sep 27, 2011.

 1. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hv majuzi niliweka tatizo langu jamvini juu ya kupoteza mud ktk tendo la ndoa. Nawashukuru wanajamii ushauri wenu wa umenisaidia na sasa nimeanza kufurah unyumba wangu na kujiona narudi uwanjani kama zamani 3 za afya na bado nakuwa niko fit kuendelea ila kwakuwa wife sizidish kipimo. shukranini wanajamii mola awajalie salama 2zidi kuwa pamoja
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  salamu muhimu!!
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  duh hongera mkubwa karibu kwenye chama
   
 4. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa kunikumbusha
   
 5. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ahsante ndugu
   
Loading...