Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Habari wana JF Hapa mtaani nimeshuhudia ndoa kama 4 hivi zimevunjika na hazijadumu zaidi ya miaka miwili, pia nina rafiki zangu ambao nimesoma nao chuo kikuu nao ndoa zao zimevunjika wakati muda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tunapendana nae sana tumeanza tangu primary hadi sasa tupo chuo tumepishana siku nne tu mwaka tupo nae sawa yaa umri.Nimepanga kumuoa yeye ila ndugu na marafiki wananitisha kuwa atanizeekea huko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kweli sisingizii ingawaje najua majuto ni mjukuu................... sukari nilipoanza kuilamba nilifikiri ni shujaa.................... lakini sasa najuta kwa nini hata...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
kwa nn wanaume ni wahuni sana kuliko wanawake?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
moved to another jukwaa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Unachukuliaje kumuoa binti aliyekwisha kuzaa labda akiwa O level huko. Au unamsimamo gani kwa mwanamke aliyekwisha kuzaa, utaweza kumuoa akikwambia ana mtoto baada ya wewe kukaa naye wiki kadhaa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi kwa nini sisiwanaume tukiwa na uhusiano na mwana mke baada ya mda mrefu huona kama mzigo au anakukera na kuona bora utafute mpya?nakama mkiendele halikama hiyo haijawatokea jua hata mkioana...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
moved to another jukwaa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
moved to another jukwaa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
moved to another jukwaa
0 Reactions
0 Replies
968 Views
SIKUOMBEI UACHIKE KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKEA Kuvunjika moyo, kukatishwa tamaa, upweke, nk ni maneno yanayoelezea feelings za uzoefu ambao binadamu hupitia pale mahusiano yanapovunjika iwe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
moved to another jukwaa
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Kina dada ni watu wenye huruma sana na huweza kusamehe hata kosa kubwa kiasi gani…. They are emotional and full of love……Mfano Kuna cases kama tatu ambapo mwanamume anamtelekeza mke na watoto...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
moved to another jukwaa
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Hellow JF, leo nimekaa nikatafakari safari yangu ya maisha hasa upande wa shule. 1. Nakumbuka nikiwa std 5 kuna mtoto alihamia skul kwetu, tulitokea kuzoeana sana na karibu darasa lote walijua...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimejiuliza sijapata jibu, naomba msaada wako mwana JF mwenzangu
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nilimeshawishika kufungua hii thread ingawa ni habari ya mwaka jana mwishoni. Niliwaahidi watu kuwa nitakuja kuandika hii habari ingawa nimesita kwa siku nyingi. Nimepata nguvu baada ya kuona...
9 Reactions
32 Replies
4K Views
Mapenzi mahali pa kazi au maofisini ni kitu cha kawaida sana kusikia siku hizi, hii ni kwa sababu kushuka kwa nidhamu makazini na kwamba tunatumia muda mwingi sana kuwa ofisini kuliko nyumbani...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ninaposema wanawake wazuri nina maana pana sana na yenye utata kwa kiasi kikubwa kwa sababu uzuri kama dhana dhahania inachanganya sana. Je wanawake wazuri ni wenye sifa zipi na hasa ni wazuri kwa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…