1> Giving the 1st salary to your parent
2>Thinking your love with tears
3>looking old photo$ smiling
4>A sweet $ emetional chat with friends
5>holding hands with your loved ones for a walk...
Nijambo la kawaida mkena mume walianzia kwenye urafiki wa kawaida na baada ya muda mfupi au hata kipindi kireeefu kua marafiki hatimae hufunga pingu za maisha je? Tuwaangalieje hawa wadada bilaya...
Hitma ya aliyekuwa Branch Director wa CRDB Bank, Vijana Branch, Mr. Sekoutoure 'Toure' Mndeme itafanyika tarehe 17/09/2011 nyumbani kwake Kunduchi mtongani kuanzia saa 7:00 mchana
Jamani niwape kisanga hiki jana niko kwenye basi akapigiwa mwanaume mmoja na mkewe ama hawara wake atujui lakini yaonyesha wanaishi pamoja,samahani hata kama wanaishi pamoja sijajua wamekaa miaka...
Habari zenu wadau.
Jamani wadau wa humu ndani, mimi nataka kuanzisha kituo cha kusaidia watoto wa mitaani. na wewe mdau nakupa nafasi ya kuchangia kidogo unipe mawazo ni jina lipi litumike kwa...
<!--[if !supportEmptyParas]-->Je, wazee wenye umri mkubwa bado huwa hamu kubwa ya tendo la ndoa?
Utafiti wa sasa unaonesha kwamba jinsi mtu anavyozidi kuwa mzee uwezo wa kuonja, kunusa, kusikia na...
Wapendwa haya ni baadhi ya maneno/sentences/phrases zitumikazo katika kuomba msamaha kwa mpenzi wako. Kuna ambazo ni more sympathetic kwa kweli kiasi kwamba zinaweza kukufanya ukatabasamu na hacra...
Mama akitumia nguvu zake zote kujitwisha mzigo mkubwa wa kuni katika kijiji kimoja mkoani Tanga ambako nishati pekee ya nyumbani inatoka na mazao ya misitu. Source: http://mwananchi.co.tz/
Inawezekana ni kweli wanaume wanaitawala dunia katika kile tunachokiita Mfumo Dume, lakini nao wanawake wanatawala kiota, siyo dunia. Ina maana gani? Kwa mujibu wa utafiti mpya wa hivi karibuni...
Mpaka kifo kitakapotutenganisha! Kama upo kwenye ndoa na upo kwenye tatizo kubwa, shida au mgogoro wowote na unajisikia kama ni wewe mwenyewe tu mwenye Matatizo ya ndoa, ukweli hupo mwenyewe kwa...
I don't care how much money he spends on me,
I don't care about the lavish gifts he gives me,
What matters most is the little things.
Like stroking my hair when Im sleeping
Or giving me kisses...
Häbari zenu ndugu zangun wanajf.ni furaha na kumshukuru mungu kwa kutuwezesha kukutana tena.nipo hapa tena nikihitaj mchango wa mawazo yenu...Miaka miwili iliyopita nilikuwa na mahusiano na kijana...
......jana nilitembelewa nyumbani na rafiki yangu akiwa na mkewe(mjamzito miezi 6 sasa) na wamefunga ndoa wiki 3 zilizopita,tukapa dinner pamoja na mke wangu na baade usiku tukatoka kumalizia siku...
Jamaa mmoja amesikika akilalamika kwa mwenzie kwenye kijiwe
kimoja cha kahawa, mitaa ya Livingstone, Kariakoo..............
Eti mkewe kachukia kweli, kisa kwanini hajaweza kuikumbuka namba ya...
Ua tu huweza kubadili hali ya upendo ktk ndoa yako
Mwanamke anahitaji alama za upendo kutoka kwa mwanaume.
Mwanaume anapompelekea mwanamke (mkewe) zawadi hii hudhihirisha kwamba mwanamke ana...
Mwanamke yeyote anayeweza kumfanya mwanaume kuwa mtu wa furaha anastahili pongezi kubwa sana kwa kazi nzuri unayofanya hasa kujitoa ili kuhakikisha ndoa yake inakuwa na afya kila siku.Wapo wanaume...
Siku ya Kwanza nitoke Vipi?
Wapo ambao siku ya kwanza ukitokea na maua basi umefungua mlango katika moyo wake. Fikiria wewe ni kijana wa kiume umepanga kukutana na binti ambaye unategemea awe...
WKumekuwa na mkanganyiko katika kutambua maana na tofauti ya ndoa batili na ile batilifu.
Kimsingi hizi ni ndoa mbili zenye hadhi ya tofauti miongoni mwa wanandoa husika na mbele ya macho ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.