MSIBA WA JAFAR WA JF (msiba wa siku nyingi)

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,535
5,921
Nilimeshawishika kufungua hii thread ingawa ni habari ya mwaka jana mwishoni.

Niliwaahidi watu kuwa nitakuja kuandika hii habari ingawa nimesita kwa siku nyingi. Nimepata nguvu baada ya kuona habari ya Aspirin.

Napenda na mie niwajulishe sasa kifo cha Mwana JF mwenzetu mwenye jina la JAFAR.

Mwana JF huyu alikuwa ni Member maarufu wa JF na pia Mwana Chadema kwa Itikadi.

Hii habari niliiandika kwa kuweka jina lake hasa na waliokuwa wakimfahamu kwa jila lake, waliona.

Kama Member wa JF, basi wengi mtamkumbuka kama JAFAR ingawa mie atabaki kwa jina lake hasa.

Aliuguwa ghafla ugonjwa wa moyo na akafiriki. Mazishi wakafanyia nyumbani kwao, Mbeya.

Maadamu tupo katika maombolezo, basi tuombeleze kila kitu na KESHO iwe siku mpya.

Mungu ampe mapumziko mema huko alikotangulia.

JAFAR: Join Date: 3rd November 2006 . Last Activity: 19th November 2010 08:54
chadema1.jpg
<= AVATAR yake

Ujumbe wake wa mwisho hapa JF ni huu hapa chini:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...ml#post1280839

Hili limekuja baada ya kusoma wazo la Miss Judith kuwa member waliotutoka basi wawe wanawekewa alama maalumu.

Ukitaka maelezo zaidi basi soma hapa: https://www.jamiiforums.com/complai...ba-wa-mwana-jf-mwongozo-wa-avatar-please.html
 
Mdondoaji

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,108
1,127
Nilimeshawika kufungua hii thread ingawa ni habari ya mwaka jana mwishoni.

Niliwaahidi watu kuwa nitakuja kuandika hii habari ingawa nimesita. Nimepata nguvu baada ya kuona habari ya Aspirin.

Napenda na mie niwajulishe sasa kifo cha Mwana JF mwenzetu mwenye jina la JAFAR.

Mwana JF huyu alikuwa ni Member maarufu wa JF na pia Mwana Chadema kwa Itikadi.

Hii habari niliiandika kwa kuweka jina lake hasa na waliokuwa wakimfahamu kwa jila lake, waliona.

Kama Member wa JF, basi wengi mtamkumbuka kama JAFAR ingawa mie atabaki kwa jina lake hasa.

Aliuguwa ghafla ugonjwa wa moyo na akafiriki. Mazishi wakafanyia nyumbani kwao, Mbeya.

Maadamu tupo katika maombolezo, basi tuombeleze kila kitu na KESHO iwe siku mpya.
Mungu ampe mapumziko mema huko alikotangulia.

JAFAR: Join Date: 3rd November 2006 . Last Activity: 19th November 2010 08:54
chadema1.jpg
<= AVATAR yake

Ujumbe wake wa mwisho hapa JF ni huu hapa chini:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...ml#post1280839

Pole sana ndugu zake wafiwa na wanaJF wote kwa pamoja. Ila kwanini umetukumbushia mkuu huoni kama unatonesha kidonda kwa ndugu zake ambao pengine wanafahamu alikuwa memba humu. Nauliza tu.
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,521
4,963
Tuzidi kumwombea mwenzetu ili mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani mahali pema Mbinguni! Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani!
 
Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,535
5,921
Unaweza kuwa sawa ingawa watu hawakujibu kabisa kuwa walikuwa wakimfahamu. Kuna mambo inabidi tu uyafunge ndiyo yanakwisha kweli. Nimeandika ili kama kutakuwa na taratibu (nimesoma mapendeko) ya member kawa hawa kuandikwa kuwa wameshatangua mbele ya haki basi na yeye wamuweke kwa ukumbusho wa siku za mbeleni. Siku moja watoto wake wanaweza kuwa Proud na baba/mjomba/babu yao...............
Pole sana ndugu zake wafiwa na wanaJF wote kwa pamoja. Ila kwanini umetukumbushia mkuu huoni kama unatonesha kidonda kwa ndugu zake ambao pengine wanafahamu alikuwa memba humu. Nauliza tu.
 
Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
12,611
11,248
R.I.P. Jafar. Huyu jamaa alikuwa kifaa mathubuti hapa janvini.Poleni sana wanaJF na nduguze.
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,219
17,980
Nampongeza Judith... alitoa wazo zuri Mno!! Sikonge IMO naona
umefanya vizuri naamini sio woote walikua wanatambua hili....

Rest In Peace Jafar....
 
Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,275
1,015
nimezipokea taarifa hizi kwa masikitiko makubwa sana....!jafar was one amongst the roll-models big brothers of mine!..

pumzika kwa amani brother...!

ahsante brother sikonge kwa taarifa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

9 Reactions
Reply
Top Bottom