Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mkikosa chakula, mnajipoza na ******* Mkikosa pesa, mnarudi kitandani kutafuta maono Ukitoka kitandani, furaha hujaa Heri maskini mwenye mke/mume kuliko tajiri single
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ebu fikiria unamtongoza mwanamke anaonekana naye amekupenda inafika mahali anakwambia hivi kweli wewe utanitoshereza huduma zangu????!!!Utaweza kunihudumia??wakatu mwanzoni hakuuliza swali...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Nilikuwa na girlfriend niliyempenda sana, lakini ikajatokea tukaachana kisa ujumbe mfupi wa kwenye simu yangu. Nimemuomba msamaha miezi miwili sasa lakini hataki kunielewa, na nafsi yangu bado...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Who should have apologized in this case? One of the renowned lawyers in Texas had made love to a city prostitute who unfortunately forgot to take her pant from the lawyer's car. Afterward he drove...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni wengi sana hata hapa JF wapo, Yukoje? Anapokutaka haridhiki mpaka aanze kukueleza makosa ya mpenzi wake aliyeachana naye hata kama hujamuuliza na ukiwa na bahati basi atakueleza makosa ya...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Not everyone who smile on you is a real friend. Some people are evils and its impossible to understand them Haters/ By Maya Angelou A hater is someone who is jealous and envious and spends all...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
habari yako? Tatizo lenu wasichana mukishaona hela mipango inazidi matumizi.eti "unakumbuka uliniahidi kuninunulia kitu fulani?"kisa kaona leo mfukoni una hela.nyie mkishaona hela ndo kila tatizo...
5 Reactions
63 Replies
5K Views
Kuna Dada ambaye yupo kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka miwilii sasa, walibahatika na mumewe kupata mtoto wao kwanza kama baada ya mwaka mmoja wa ndoa ingawa huyu Dada alipata complications nyingi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana jf naomba kujua kama kuna ukweli kwamba unapotaka kuoa unatakiwa kuwa makini kuna makabila yana utata wake pindi utakapoungana nao je nikweli? Ni makabila gani hayo? Na utata wao ni upi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Awe mrefu wastani, elimu kuanzia form six, age asiwe zaidi ya 24years, rangi yoyote, asiwe mnene, awe mcha Mungu. Mwenye sifa hizi aniPM tafadhali au anicheck kwa email lushe2010@yahoo.com Asanteni
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Msichana mrembo anaejiamin na intellectual aged between 18 up 23 nakuhitaji tufanye maisha(serious relationship) na kuoana later im 24 npo college..just Pm me,.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi, Mommy. ... ...I'm your baby. You don't know me yet, I'm only a few weeks old. You're going to find out about me soon, though, I promise. Let me tell you some things about me. My name is...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ya mchana huu wanajamvi,, Ni miezi sita sasa tangu tuachane mimi na yy kwa madai kwamba ndugu zake hawajaridhika awe na mimi maishani ...cha ajabu ni mwezi sasa tangu aanze kunifata na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii sms jana mke wa ndugu yangu kaibamba kwenye simu ya mumewe ambaye alisevu jina la mtuma meseji kuwa anaitwa ' Mose fundi bomba': 'Mpenzi leo nimepita madukani Kariakoo.Bei ya vifaa ni hizi...
1 Reactions
112 Replies
13K Views
Hivi ninavyofungua huu uzi kuna kijana jirani yangu yamemkuta. Yeye ni mmoja wa wale wanaoitwa 'watoto wa nje' (neno hili silipendi kabisa,kwangu mtoto ni mtoto tu). Mzee wake amefariki hakuacha...
6 Reactions
65 Replies
6K Views
Uzae mtoto wa kike msagaji au wa kiume shoga?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa sababu yoyote ile, iwe ni kwa kuteleza au kwa uchakaramu wako, lakini mwenzako amegundua au ana wasiwasi nawe kuwa si mwaminifu katika mahusiano na akaamua kukuuliza kutaka ukweli. Jee...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni akina nani wanaowashawishi au kuwabembeleza wenzao kuoa kati ya wanaume na wanawake? Ni swali rahisi sana kulijibu, kwani karibu kila mtu anajua jibu lake, labda anachoweza kushindwa kukijua ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi mashoga wanapo asili (adopt) mtoto tutarajie nini kutoka kwa mtoto huyo atakapo kuwa mtu mzima?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom