Sukari inapogeuka kuwa shubiri

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
kweli sisingizii ingawaje najua majuto ni mjukuu...................

sukari nilipoanza kuilamba nilifikiri ni shujaa....................

lakini sasa najuta kwa nini hata niliilamba.......................

kila nilipokuwa nailamba nilidhani mimi kijogoo..................

sasa nimepoteza mwelekeo kwa sababu ninaisikia mwilini ikidai fidia na imegeuka balaa..........

nilidhani ningelipewa kikombe....................

lakini nilichoambuliwa ni takwimu kichwani kwangu............................

takwimu za majeraha niliyoyasababisha mengi yake kwa kukusudia............

kumbe sasa mwili unawaka moto hata mifupa inanilaumu...........

joto nalisikia mwilini na najisikia kuwashwawashwa.............

mapele mwili mzima na ninajisikia kunuka.............

hamu ya kula sina na koo limejaa vidonda..........

nipo mbioni kwenda kupimwa ingawaje majibu ninayajua...................

(uhusiano wa makala hii na mtu yeyote yule ni kwa bahati mbaya tu kwani ni habari ya kubuni tu.)

Ruta..
Hiyo itakuwa TB tu ndugu yangu,
Acxha kuingiza upepo nenda kapime... majibu huyajui!
Ila da hiyo mistari yako imeniyumbisha kaka... mida nina kiapointimenti mitaa ya kati.
Sijui kwanini nimefungua hii sred

Bei ya sukari hapa kijijini kwangu leo ni tshs 2600/= kwa Kilo. Loh,nilidhani unazungumzia shubiri kama hii. Kumbe ni Ukimwi !

ukimwi? Mbona unanitisha hivyo mimi ninahisi nina kisukari pekee yake......................ukimwi watoka wapi na kulamba sukari wajamani?

Ruta..
Hiyo itakuwa TB tu ndugu yangu,
Acxha kuingiza upepo nenda kapime... majibu huyajui!
Ila da hiyo mistari yako imeniyumbisha kaka... mida nina kiapointimenti mitaa ya kati.
Sijui kwanini nimefungua hii sred

TB inatoka wapi na kulamba sukari tu? mimi sijawahi kusikia ya kuwa sukari inasababisha TB..........................mara nyingi ulambaji wa sukari kupita kiasi huunganishwa na safura na kisukari................................ingawaje sina uhakika na uhusiano wake?

Mhhh wewe nenda kapime mbona una majibu kumi kidogo wakati ni just kulamba sukari tuu
Je ulikiosha kijiko au kukichemsha na maji kabla hujalamba sukari hiyo
Je wakati unalamba sukari uliangalia ulimi wako hauna vidonda
Je mikono yako ulivalisha gloves kabla ya kushika sukari
Na je uliipima sukari hiyo kama haijaexpire au ulinunua tuu na kwenda kulamba
Na je ulikuwa ukitumia aina moja tuu ya sukari au ulikuwa unabadilisha mara leo sukari guru mara leo ile nyeupe mara leo ya brown
Na je kabla ya kulamba ulihakikisha kuwa hakuna mwingine aliyelamba hapo

tayari nimepimwa na wamesema siumwi kitu ila nina ugonjwa wa kusadikika tu..........................kwa jina la kitaalamu ni "hypochondria".........sijui ni kitu gani na hauna tiba ila kujiamini ya kuwa siumwi................................iko shida hapa....................

Nilipenda kweli alivojibu Rocky but ulivomjibu umenikata maini.... Dah!

tayari nimepimwa na wamesema siumwi kitu ila nina ugonjwa wa kusadikika tu..........................kwa jina la kitaalamu ni "hypochondria".........sijui ni kitu gani na hauna tiba ila kujiamini ya kuwa siumwi................................iko shida hapa....................

Na huo ndio ugonjwa wenyewe hujiamini na humuamini hata doc aliyekupima kiasi unamuogopa kila mtu mpaka kivuli chako unakiogopa

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom