Ukaribu & mazoea vs kupenda/kupendana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukaribu & mazoea vs kupenda/kupendana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Sep 13, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hellow JF, leo nimekaa nikatafakari safari yangu ya maisha hasa upande wa shule. 1. Nakumbuka nikiwa std 5 kuna mtoto alihamia skul kwetu, tulitokea kuzoeana sana na karibu darasa lote walijua kuna mapenzi kati yetu, kifupi nilimpenda sana japo alikuja kunitosa nilimpomtongoza tukiwa sec. 2. Nikiwa O'level nikakutana na mrembo mwingine, niliamin toka moyon kwamba nampenda, na nikajiaminisha kwamba hatatokea mwingine kama yeye, yule binti alifel form 2 na akahama shule hivyo sikupata kumwambia na sijamuona tena mpaka leo 3. A'level nilikutana na kifaa kingine na nikaapa nikimpata sitamwacha, nilihis ni malaika aliyeshushwa kwa ajiri yangu, 2 years nilipigishwa kwata ndipo nikaja kukubaliwa, kilichofuatia ni kutoswa baada ya miezi michache 4. Nilipofika chuo nikakutana na malaika mwingine, nikahisi wote wa nyuma hawakuwa kwa ajiri yangu, nilijitahidi kumwambia unaoitwa ukwel toka moyon lakin sikufanikiwa. Sasa nipo mtaani, ila nahisi picha linaendelea. Swali; je kupenda/ukweli ni upi Ikiwa wote huwa tunasisitiza tunawapenda? Je ni ukaribu unaopelekea kile kinachoitwa kupenda? Nawasilisha.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  yes.
  ukaribu .mazoea uzaa kupendana..SIMPLY BCZ UWEZ MZOEA MTU USIYE KUWA NA CHEMISTRY NAE....mazoea ya chumban uzaa mwendo wa chumban...apochacha!

  karibu ugali kisamvu km vp tuzoeane...
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Fimbo ya mkononi ndiyo iuayo nyoka kaka
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Na je swali kubwa hapo ulikuwa unapenda zaidi au kutamani maana yote yanawezekana
  Ila mkuu mkali std 5 ushaanza kuwaza kupenda
  Hapo ulikuwa unatamani mkuu na sio kupenda
  Na ulitaka kujenga yale mazoea then ndo upate kile unachotamani na may be kizae upendo
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Sep 13, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Rose..........huishi vituko weye.

  tindikali swali lako kwangu limekuwa gumu. Mazoea hayo unayoyazungumzia ya stage gani? kuna mazoea yale ya kwanza kabla hamjatongozana - haya huweza kuleta au kuzaa upendo kwa kuwa ni kitu ambacho bado hujakipata (na mara nyingi hata kama ana kasoro hutoiona kwa kuwa tu mazoea na tamaa vimekufunika.
  Mazoea yale ya tayari mshakuwa wapenzi - haya ya kipindi hiki yana matokeo mawili- yanawezakukusababishia ukaendelea kumpenda au ukapunguza mapenzi kwa sababu mnafahamiana sasa na kwa mwanaume hatosita kukupiga chini kama una tabia zisizovumilika kwa sababu ameshakuwa nawe! Kwa mwanamke mara nyingi huwa tunatendency ya kuvumilia na kuona kuwa 'ntafanyaje na nsha'mwonjesha'
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hujampata bado malaika wa moyo wako au hujasema na moyo wako kua hapa ndio mwisho wa reli na ukiuendekeza moyo utakua hivyo hivyo maisha....
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mkuu kitaa utapata tu atakae kufaa na kuendana na wewe, ila std 5 we mkariii,
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh sidhan kama nilimtamani, mpaka leo huwa sielewi kipi kilinikuta..lol
   
 9. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  yoteee umeliona la std 5<huo ni mwaka alohamia skuli>, hofu yangu ni pale nitakapohama mtaa ninaokaa, si nitamuona malaika mwingine?
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Then back to your senses
  Jifunze kupenda na jifunze kuanza kupenda sio kutamani
  na kama ameandikiwa wako atakuwa wako tuu hata kama akihama mkoa au shule au chuo
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye kuonjeshwa nna neno.
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo umeconclude kwamba kote huko nilitamani? Naamini nilipenda toka moyoni, kama ni tofauti nipo tayari kuanza kujifunza kutotaman japo nashindwa kuvitenganisha, kupenda & kutamani.
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Huko kote uliotamani na uliokuwa unawaona ulikuwa unatamani kitu kimoja tuu kutoka kwao ambacho kama ungekipata na ukaridhika ungeenda further step ya kupenda
  Jifunze now kudevelop sense of love though it is too tough kutenganisha kutoka kutamani na kupenda ila hebu jiulize ni nini umempendea yule unayemuona
  Na je umemtamani alivyo ukafikia hata kumvua nguo au unapenda uende mbali zaidi kwenye kuwa na relatioship nae na kuform marriage
   
 14. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  usikute hiyo std 5 alikua na miaka 18 mbona hujamhoji vizuri...si unajua watu wa longi....
   
 15. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  afu mkuu mwenye thread acha kuwafagilia kwa kuwaita malaika hawa binadamu wa kike...wengi wao shnz type
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh chichem kitu hapo
   
 17. M

  Magoo JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 438
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ukaribu chanzo cha mapenzi
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Iz ur mom one of them?
   
 19. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  This wife of mine, tulikuwa tukifahamiana tangu yeye akiwa shule ( sec) namimi ndo nimemaliza chuo niko mtaa, tulikuwa majirani na familia zetu zilikuwa marafiki sana, kwa kipindi chote hatujawahi kupendana wala kuwa karibu sana, in shot nilishawahi kuwa namchukia, i dont know why, it just happen. I traveled far for farther studies for 2yrs, when i come back and i saw her, ghafla nikaanza kumpenda and we end up wife and husband.
   
 20. NGWANAMWELUNGA

  NGWANAMWELUNGA Member

  #20
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali; je kupenda/ukweli ni upi Ikiwa wote huwa tunasisitiza tunawapenda? Je ni ukaribu unaopelekea kile kinachoitwa kupenda?


  kiukweli wengi huwa tunachanganya vitu hivi viwili; KUPENDA na KUTAMANI!! kupenda huwa kunajengwa na vitu vingi ikiwemo ukarimu, ukaribu, kujali, ,uelewa kwa mwenzi wako na kikubwa ni auaminifu!! vyote hivi huchukua muda kujidhihirisha!!!

  Ukiona ghafla tu ume-develop a strong sexual desire kwa mtu fulani, that is not LOVE!! IT IS CALLED "LUST!!!!"
   
Loading...