wanajamvi
nimekutana na mkasa huu nikaombwa ushauri nikaona nililete jamvini kupata mawazo zaidi..
Jamaa analalamika kuhusu mabadiliko ya tabia ya mkewe hasa makundi na ulevi . wameishi kwa...
Habari za majukumu waungwana wa JF? Naomba busara zenu kuhusu athari za kimahusiano zinazowezekana kujitokeza iwapo mume na mke au mtu na mpenzi wake wanafanya kazi sehemu moja. Mfano, wote ni...
How To Have An Affair | The Guide
If youre reading this, theres a strong chance youre considering cheating on your spouse but not leaving him / her. Deciding to have an affair is a personal...
Jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya Rombo view,Brake point town...
Jamani wadau wa hili jukwaa la MMU nilikuwa na rafiki yangu mahali tupata kirauli mitaa ya Oysterbay kuna baa inaitwa Trinit sasa jamaa akaniambia unamuona yule dada ana jamaa tunafanya naye kazi...
Helo fellas glory 2almighty God!
So long i hv come through lonlyness and wanna now creep on in a relation.
However i want 2know what 2be adhered b4 i get traped on it!
Hp u'll gv sm hints obout it.
I was a very happy man. My wonderful girlfriend
and I had been dating for over a year, and so we
decided to get married. There was only one
little thing bothering me...It was her beautiful...
Juwa kwamba maisha ni uchizi.! Nina sababu kumi kudhibitisha hili_
Kwani kila siku;
1.Unachotaka hukipati(MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii (NDOA)
3.Kinachofurahisha hakidumu...
Nimewiwa kuuliza hili hiivi wakati wanandoa mkiwa mnakula lile tunda
wengi wamekuwa wakisema nanii wenzao wanafunga macho
na wengine huanzia hata wakati wa romance na mpaka unapoanza
kumantain...
Unakuta binti ana b/f wake tangu akiwa level za sec, boy anajiweka kwa binti kiukweli koz anategemea badae flan aje awe wife!!jamaa anamsapoti binti mpaka kufikia level ya chuo!!baada ya kujoin...
Imagine what life would be like without the pain of disappointments, betrayals or heartbreak, imagine how free would everyone be, imagine every single person you meet has your best interest at...
Wapendwa wadau naomba msaada wenu wa mawazo, hivi inawezekana kweli ukapata mapenzi ya kweli kutoka kwa msichana ambae hajaolewa na wewe umeoa na anajua hilo, lakini wewe(mwanaume) ukawa na upendo...
Namshukuru Mungu kwa ajili ya akina dada/mama mlio wengi humu mlio na vipato na mnaochangia matumizi katika Masuala ya familia.
Hata hivyp naomba ninene na Mwajuma, akiwakilisha kundi la akina...
What changes when you have a baby?
Or say: What doesn't change after you get a baby?
1.You finally stop to smell the roses, because your baby is in your arms. You find your baby smells better...
Nchi nyingi za Ulaya na Amerika ya Kusini ni kawaida kwa mwanaume kulala chumba kingine na mwanamke kulala chumba Kingine. Jee kibongo bongo inawezekana (kama mna nyumba kubwa) mwanamke kulala...
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata...
Mpaka miaka ya hivi karibuni mambo ya uchumba yalikuwa hayawezi kufanyika bila ya kuwepo wazazi na familia. Mitoko mingi na kualikana ilifanyika majumbani wakiwapo wanafamilia wote. Kujitokeza kwa...
wangu nikiwa nae kwenye mpango mzima wa chakula cha usiku kwa watu wazima, hataki kabisa kuona taa inawaka,..na mm napenda iwake taa kiasi kwamba ninaona kila kitu kwa macho yangu...ishu hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.