Wanawake ni Angels lakini they can be Devils….. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake ni Angels lakini they can be Devils…..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by VoiceOfReason, Jan 5, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kina dada ni watu wenye huruma sana na huweza kusamehe hata kosa kubwa kiasi gani…. They are emotional and full of love……Mfano

  Lakini hawa kina dada kama hawakupendi au wamekuchukia pia wanaweza fanya vitendo vya kinyama usiamini…. Mfano

  Kwahiyo hii imenifanya ni conclude wanawake they can be very good…… au very very bad…. ni kuomba Mungu utakayekutana nae awe the former na sio the latter

  Am sure wadau mna cases kama hizi nyingi tu…. Ingawa kina kaka ni wabaya pia, ila ni bora ukutane na mkaka mbaya kuliko mdada mbaya…..
  “Women.... when good they are very Good lakini when they are Bad they are Worse”
   
 2. Atoti

  Atoti Senior Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Adui wa mtu ni mtu kaka.. Only a human being cn change another human being.. So ukikuta mwanamke ameumizwa kupita maelezo oh yeah we cn be absolute she devils..
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ubora wa mkaka mbaya uko wapi??Mtu mbaya ni mbaya tu bwana...mwanamke au mwanaume!
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Some people need no reasons to show their true colours......... mi ninavyoona mwanamke akikupenda mwenyewe utapenda.... lakini pendo likichachuka utajuta kuzaliwa....
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Beware of a Woman Scourned..... Ukikutana na mwanamke amekuchoka au amekuchukia hivyo visa utajuta kuzaliwa...... Wanawake they are better kwenye hii fani ya upendo na chuki kuliko wanaume...
   
 6. shejele

  shejele Senior Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  VOR,
  that isnt mutually exclusive, hata mkaka akikuchoka ndio worse zaidi na akikupenda utajiona uko on top of the world.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  True ila kama alivyosema Atoti hapo juu wengi wanakua wamesukumwa kua hivyo!Kwahiyo kama hutaki kuuona huo ushetani treat watu wengine vizuri!Mwenyewe umesema akikuchoka au akikuchukia...mpaka hapo unajua chanzo ni wewe maana mtu kukuchukia bila sababu ni nadra sana!
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmhhh kila mtu ni malaika ushetani ni feeling tu
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kweli wengi wanawake ni angels lakini mfano wangu wa pili ni nani alimkosea huyu.....
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Wanawake are driven by emotions.... na usiombe chuki inayosukumwa na emotion..... kina kaka mara nyingi wanakuwa hawana kinyongo...
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo hamna chuki ni dharau tu VoR!Ukimsaidia mtu akaja kukunyanyasa na ulimchopa sio kama anakuchia ila anaona huendani nae tena!Ye anajiona amekua matawi na wewe sio saizi yake!Kina kaka wa aina hiyo nao wapo sana tu...unamsaidia mtu alafu anachopata anaenda kutafutia mwanamke mwingine!
   
 12. shejele

  shejele Senior Member

  #12
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thats true, na ndio mana asilimia kubwa mapenzi yao yanakuwa ya ukweli.

  Kuhusu huyo mdada aliye mdump mwenzio, nadhani alikua anamtumia huyo mkaka kuarchive mambo yake hakukua na mapenzi ya kweli hapo.
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  bnadamju wote ni malaika na mashetani it DEPEND ON CIRCUMSTANCES.
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kina kaka wakikuacha angalau watakupiga sound lakini hawatakuambia live..... Huyu dada alimshukia kaka maneno ambayo kwakweli hayakuwa na busara....... na kumkashifu na vijisenti vyake...... Yaani huwa wakiacha kupenda ni kama wanaamua kukuumiza na kukukomoa na hawataki ufanikiwe (kinyongo....)
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  maiti zinazidiana kunuka....
   
 16. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kila mtu ni malaika ushetani ni hisia za mtu tuu,,,,
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Both men and women can be devils,if you ask me,men are necessary devils that women needs for reproduction,the sweet lies that they tell us,company,gaining respect from society,financial support,sex etc etc.
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  its all about controlling your emotions..... Nina uhakika kwamba kila mtu yupo capable kufanya anything it just depends ni kiasi gani he/she amebanwa kwahiyo my point ni kwamba..... Stay away.... and beware of a woman scourned......, kwa mambo ya upendo (love), hapa ni bora vituko vya mwanaume kuliko mwanamke (but i stand to be corrected)
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Basi mimi nakusahihisha!Kuna wanaume wana vituko visivyoelezeka!!Tena bora mtu anaekuambia live unajua mawazo yake juu yako kuliko huyo anaekupiga saundi kumbe ana zaidi ya chuki na wewe alafu anatoa hisia zake hizo kwingine we ukijua mi na fulani wala hatuna uadui...kumbe hujui tu!
   
 20. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Point of correction my dia,u cant know how it hurts to be pinched if you havent had 1,.if u r a guy,u cant know what women go through,.now..wth wat you have said,hujawah kukuta mwanaume amemchoka mwanamke my dia,yani unaeza hata kuletewa mwanamke mwngne hapo ndani,kipigo,maneno,.kuna watu wamepoteza watoto wao due to domestic violence,MEN CAN BE MONSTERS,just lyk women who r mostly pushd by men to be that way,but Men,wanaeza kukutana na kimada huko ukapokea wewe kipgo!my thoughts.
   
Loading...