Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ningeomba kusisitiza tena kwamba hupaswi kuwa mtumwa wa mwanamke au mwanaume. Leo hii kuna wanawake na wanaume ambao maisha yao ya ndoa yamekuwa ni jela zao wenyewe. Wanaume na wanawake hawa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Imefikia wakati wazazi lazma tujue mahusiano ya watoto wetu. Si wakati wa kuwafanya watoto kujificha. Mahusiano si mabaya ila mabaya ni matendo yanayofanyika ndani ya mahusiano. Ni bora...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar ya wakti huu wanajamvi, naombeni mnipe njia za kumsahau mtu mloachana ukiwa bado unampenda coz naumia kupita kiasi jamani najitahidi kila namna nimsahau lakini wapi tuna mwezi na nusu sasa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau, habari za jioni? Naombeni ushauri wenu katika hii ishu kuna binamu yangu mtoto wa shangazi yangu anataka kunifanyia uhuni kwa Girlfriend wangu. Nina Mpenzi wangu ambaye tumeanza kuwa na...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Happiness is what u perceive..Have ur own checklist and once a substantial part of it is fulfilled then you are Happy!... Be happy my friend, cause no matter how long we wait, the World is Not...
13 Reactions
70 Replies
5K Views
Wanajf natumai mkop poa,kama sijakosea nadhani kuna wazazi humu na natumai itasaidia japo kidogo...samahani kama ntakua nimekosea sehemu ya kupost........ Can you relate? If so, here are eight...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
I love this picture of the family which had sextuplets, "By the end of the day, Rozonno and Mia change 36 diapers, prepare 24 bottles, and dish out 12 bowls of cereals. Nimejiuliza swali 36...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Jamani mwenzenu najiona wazi naelekea kumkosa yule niliyempenda kwa dhati ya moyo wangu kwa sababu kadhaa ambazo hazikuwa na uhalisia kama anavyodai mwenza wangu! Kiukweli nlibaini kuwa mwenzangu...
2 Reactions
51 Replies
48K Views
Jana nilifanya kitu kinacho ninyima raha sana, stori yenyewe ipo hivi. Kuna msichana tuliwahi kuwa na uhusiano zamani kabla sijaoa na yeye kuolewa, kwa sasa anafanya kazi RITA. Kutokana na...
0 Reactions
119 Replies
9K Views
Nimepitia majadiliano yaliyomo kwenye vyombo vya habari hapa nchini (soma majira ya leo utaona kuna kichwa cha habari ukurasa wa 1 kisemacho "Mashoga Dar wataka kutambuliwa kikatiba" na kwenye...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa wapenzi wa Jukwaa la MMU, Wiki hii tumefahamishwa na moderators kuwa kuanzia sasa threads zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under moderation kabla hazijawa approved kama lilivyo...
8 Reactions
112 Replies
8K Views
Jitahidi kuhakikisha unalinda moyo wako na moyo wa mpenzi wako; usije ukaupasua na kuuumiza. Wanandoa wengi hujikuta wamefika mahali ambapo ndoa haiwezi kuwepo tena (talaka) na tatizo kubwa ni...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Niko hapa katikati ya jiji hili la Dar, kwenye Hoteli moja iliyobadilishwa jina hivi karibuni. Niko a wageni wangu, na pembeni wapo kina dada wanaojiuza, maarufu kama makahaba. Wapo ambao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya jana kukiri nimelikoroga nawashukuru mlionipa pole,mambo yote kwa sasa ni muswano. Sasa ndugu zangu hebu tushauriane hapa.Nina jamaa yangu ambaye alipata sekeseke miaka michache iliyopita...
4 Reactions
198 Replies
11K Views
Kila nikipita hapa 'love connect' nakuta posti za wanaume tu nyingi zikisema wako wapweke wanatafuta wenza/wapenzi/wake/wachumba/marafiki wa kike...hadimu sana kukuta mwanamke kaposti kutaka...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna kutupiana sana mipira na kulaumiana kati ya wanandoa vijana kuliko mtu anavyoweza kufikiria. Kila mmoja anataka mwenzake abebe majukumu makubwa na pengine zaidi kuliko mwingine. Pengine baba...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani natafuta mwenza wa kupitisha week ends tuuu ! kutoka pamoja na kufurahia maisha yaliyobaki ! Awe mdada mrembo anayejiamini kuwa mrembo na asizidi 30yrs , please !
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Awe dar pia awe cngo age 18 mpka 22..mapenz mazito ntampa my no 0656 40 47 21 awe mwaminifu cjali dini,
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wandugu, nilipata mtoto na binti mmoja miaka kadhaa iliyopita, hatukuoana wala kuwahi kuishi pamoja, nilimchukua mtoto akiwa na miaka miwili (pls dont ask why)na nilimlea mwenyewe hadi nilipooa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Salamu tele toka kwangu ziwafikie popote mlipo wanaJF/MMU! Ni matumaini yangu tu salama na twasonga mbele ktk shughuri na majukumu yetu ya kila siku. Leo ninajambo moja nitakalo lijadiliwe kwa...
0 Reactions
86 Replies
13K Views
Back
Top Bottom