HAZOLE
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,551
- 711
Hi jf members, jamani juzi nipo na mzee mmoja analalamika eti watoto wake hawana msaada. Nikagundua kwamba tunazaa tu ila watoto ni "liabilities" and not assets. Yaani huwezi rejesha gharama zako za ulezi hata japo expenses zifanane(ku break-even) na vijisenti watakavyokuwa wanakupa. Jamani kuzaa sana mzigo. Naendelea kujipanga...... Na huyo manzi niliyenae awe mpole tu