eti duty za usiku zimevunja ndoa za watu nyingi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,021
nasikiliza kipindikimoja wanadai
wanaofanza duty za usikukurudi asbh wengi wamepoteza imani kama
awapo kwenye ndoa na hata waliopo wanaishi kwa matumaini
ukiwa kama mwanandoa siongeleei uliechukua kimeo ukahifadhi no
ni kwa wanandoa tu tusaidieni mnaoenda nyt kuna amani mkirudi na je inazoeeleka
kuna kadogo changu kalinigusia majuzi pia na ndoa yake haina hata miezi 3 wamemwambia
ataanza nyt mwezi mzima ..mmmh anafikiria kuhojiana na mumewe yatakuwaje je uliefanikisha
umewezaje

usiku mwema
 
mmoja ametoa sababu sio tu kutokuwa na imani labda wewe unaemwacha kunakajamaa kanaingia saa sita kanatoka sa kumi
huku na wewe ulie duty anawaza yale yale ..mbaya wengi wakirudi usiku wanakuta wenza wanaenda kazini na inaonyesha
wengi wakifika nyumban iwe mwanaume ama mwanamke anakuwa hoi na kushindwa kutoa ushirikiano na mwenzie...
je hili nalo tatizo kwani lazima asbh????
 
Kama wote ni waaminifu na mnaaminiana huwa hamna hofu yoyote, wa shift ya usiku anaenda na wa mchana anaenda ila tu mawasiliano na huduma ya sex inaendelea kama kawaida yenu kutokana na ratiba mlizojipangia au wote mkiwa pamoja mnapeana tu bila shida yoyote.
 
Back
Top Bottom