Chandarua kipya

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Sijui lengo la vyandarua hivi vya JK ni nini zaidi ya
kutukinga na malaria,....
Naona kama vina punguza nguvu za kiume ingawa kwenye
tangazo lao wana kana kata kata.
Toka nimeanza kutumia mambo si shwari,leo mwisho .

Kuna mwenye experience navyo huko?
 
hahahahaha! vyandarua vina sumu? sasa ebu achakutumia halafu utulete report kamili Kaka duh kama kweli tushaumia.....
 
Mkuu, Naomba Uendelee Kuzitumia kwa uaminifu zaidi ili uwe sample kama kuna matatizo au hakuna.
 
weweeeee, clemmy, mimi tangu nianze kutumia jembe nalikita mbaya mbovu utadhani nimefungwa accelerator mpya. angalia asije akwa ni vindoo nje halafu kisingizio ikawa vyandarua
 
sasa linakuwa ni tatizo la kisaikolojia tu, kila mtu akiingia ndani ya chandarua wasiwasi unamwingia na mambo hayaendi vizuri kitandani
 
hakuna bure isiyo na gharama.Hebu endelea kidogo kutumia ili tujifunze kutoka kwako.
 
hahahahaha! vyandarua vina sumu? sasa ebu achakutumia halafu utulete report kamili Kaka duh kama kweli tushaumia.....

Yeah,hilo ndo swala.
Labda na kama alivo sema mdau yawezekana na saikolojia inachangia pia.
Sivitaki kabisaaaa,bora kuugua malaria kuliko kuaibika
 
Mkuu, Naomba Uendelee Kuzitumia kwa uaminifu zaidi ili uwe sample kama kuna matatizo au hakuna.

Aku,..nimechoka kuwa chambo.
Tumia na wewe afu utoe ushuhuda wako hapa.
From 3goals ina a night to one long goal,then one short goal
vipi nikitumia mwezi mzima?
sitaki
 
duhhh..

kwa hiyo either way kuna matatizo tu ...

kipandee hii kuna malaria kipande ile kuna uwezekano wakukosa wajukuu..
pole sana..
 
Tanzania hatuna hata mtaalamu mmoja wala uwezo wa kupima PLUTONIUM RAYS, na wasiwasi na vyandalua hihi eti msaada wa bure , jamani mbona hatuchunguzi kabla hadi yatufike. ooooo nilisahau kumbe hapa kwetu TZ ni dambpo la kutupia misaada kam hiyo. ANGALIENI sana
 
duhhh..

kwa hiyo either way kuna matatizo tu ...

kipandee hii kuna malaria kipande ile kuna uwezekano wakukosa wajukuu..
pole sana..

nope,vyandarua vyetu vya kizamani vinazuia malaria sana tu.
Hawa wamarekani sijui wanataka kujaribu nini toka kwetu waafrika
tulio maskini.
 
vyandarua vipya vimemtoa busha jirani yangu

Acha utani basi,hahaha hiyo kali
mpe pole sana,honestly sita kitumia sana.

Iwe ni kweli au ni saikolojia ndo inanifanya niwe hivo,nope sitaki
kuja kutoka kwenye magazeti kama sample ya watu walio athirika navyo
 
Tanzania hatuna hata mtaalamu mmoja wala uwezo wa kupima PLUTONIUM RAYS, na wasiwasi na vyandalua hihi eti msaada wa bure , jamani mbona hatuchunguzi kabla hadi yatufike. ooooo nilisahau kumbe hapa kwetu TZ ni dambpo la kutupia misaada kam hiyo. ANGALIENI sana

Ni hatari sana,
tunaletewa vitu vingi tu na tunapokea bila hata kufanya utafiti vina madhara gani.
Jana nimesikia tumeletewa madawa tani kibao toka china na yame expire toka 2009.

Na hatua iliyo chukuliwa ni kuzirudisha hizo mbuvu ili tuchukue zingine.duh
 
Back
Top Bottom