Hizi ndizo ndoa zetu wanaJF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi ndizo ndoa zetu wanaJF?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Simcaesor, Oct 4, 2011.

 1. S

  Simcaesor Senior Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana mtu kaoa tena ndoa ya kimungu na kwa heshima kubwa halafu unamkuta kwenye madanguro na mausiku klabu, kikubwa anatafuta malaya na hana ugomvi na mkewe kisa tamaa tu. kuna mana gani ya kuoa halafu unakuwa na tamaa kibao za wanawake wengine, ki ukweli hili linanichefua sana tena sana. wanaJF tuungane kuwashauri wanandoa wenye akili mbovu kama hizi....
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Unaandika kwa kutumia nadharia! Halafu pia nadhani umri wako ni chini ya miaka 25 hivi!

  Ndoa siyo hayo maandishi manne - Ina maana kubwa zaidi ya hapo!
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wewe ni HE au SHE?, umeoa/olewa?!. Ukiona baba anamucha mwenza kitandani na kwenda kwa wajasiliamali ujue huyu aliyeachwa ndani is a problem too.
   
 4. Painstruth

  Painstruth Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo unamaanisha ndoa ni sex? na ukioa ukamkuta mkeo au mmeo hakuna ile kitu ndo mnaachana? au akipata ajali akawa functionless ndio ndoa inavunjika?

  au unamaanisha wasiokuwa na ndoa ni sawa kwenda kwenye madanguro na kuchukua malaya? huyo Mungu anayeruhusu haya na kukataza yale ni yupi?

  unazungumzia very very complicated subject which certainly you know nothing about it!
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Kila jambo linalotokea, kuna sababu ya kutokea. Ukiona mwanaume amemwacha mke wake ndani na kwenda kununua penzi ujue kuna sababu ya kufanya hivyo!

  Ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa.
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  duh...watu wakware humu...
   
 7. Painstruth

  Painstruth Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio wakware, tumekuwa wepesi kulaumu matatizo yanayoonekana ambayo chanzo chake huwa hakionekani na wengi hawapendelei kusema. Mtu tangu utotoni kazoe kamchezo ka kuwa na wanawake wengi, leo akitaka kuoa atatakiwa kulipa mafungu ya kumi tu, akifunga ndoa huo mchezo wa zamani anaacha kwa mechanism gani?

  kuna sababu nyingi sana na kama ni GT inabidi kuangalia mzizi wa tatizo

  1.malezi
  2. kampani
  3. saikolojia
  4. financial
  5. frustration za ndani ya nyumba na nje
  6. Nature

  wengine ni nature tu, I would say 99% of african male/men are born to bonkey many many women, that was before christianity and muslim to come ove to our continents

  ukiangalia nature za mababu wetu walikuwa wanaona wake sita saba mpaka basi, vile vinasaba vyao vile viko mpaka leo hii na watu utakuta wana vinyumba vidogo tunawalaumu tu

  Ili nature ibadilike wa kutatua ni kumpa Yesu maisha yako ili akuumbe upya , nje ya hapo is just wasting time tu kujadili topic ambayo hata mleta maada anajua fika na yeye ina mgusa.

  muulize mtoa maada kama ameoa, muulize kama bado ameisha lala na wenzi wangapi, na kama ameoa alishalala nao wangapi hapo kabla! INATISHA!
   
 8. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Acheni ujuha!
   
 9. s

  shalis JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mimi sioni tatizo la mtoa mada yeye alichowakilisha kuwa tukiwaona hawa watu tuwashauri maana haoni maana halisi ya mtu kuwa na mweza...kutokana na mtu kuendekeza tabia za mwanzoni na kuzileta kwenye family
  ok, mim nitakuwa wakwanza kuwashauri ila ki ukweli mambo ya ndoa yanakatisha tamaa sana na wanaume wengi sasa wameshidwa kabia kabisa kuwa Real mens wana tangatanga na mwisho wa siku kuharibu familia ..tubadilike wajameni
   
 10. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  na sababu kubwa mojawapo ni TAMAA MBAYA
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  bWA MDOGO,
  Elewa wazi kuwa unaongelea suala-mtambuka, tena ambalo kwa mtazamo tu, hulijui hata kwa 36%!
  Shida yako ni kuwa unaangalia upande wa baba tu, na ume'level-ground kuwa mwanamke ni innocent muda wote!
  Anyway, sio kosa lako!
  Wewe unaamini kabisa kuwa vitabu na tamthilia unazoangalia kwenye Weekend-Movie ndiyo hali halisi ya maisha ndani ya familia!
  Let me tell you that you are totally wrong, and when you come to reality everything is inside-out, upside-down!
  Usidanganyike na mapenzi unayopewa na "DEMU", ukadhani ndiyo sawa na ndoa,...fikiria ndoa yenye umri wa miaka hata 15 tu!!

  I dont blame you young man, sema chochote unachopenda!
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Umeseam ukweli kabisa Mpwa, ila sijaelewa una ushahidi gani kuwa hao uliowakuta huko kwenye madanguro wana ndoa tena ndoa halali na takatifu, pili na wewe ulienda kutafuta nini huko? ok, ujumbe ulioutoa ni changamoto nzuro kwetu sote.
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Tatizo unasikitishwa na kitu usicho na uelewa nacho_ni kama unaambiwa tu watu wanaokwenda club ni wahuni na wanafuata malaya...acha kulalama kwa kitu usichokijua
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,584
  Trophy Points: 280
  napita njia hapa.
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wamekusikia tayari.
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Etieee!
  Aseeee!
   
 17. m

  mkalagale Member

  #17
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua mwanamke kabla hajaolewa huwa anajituma katika lile tendo letu lkn akishaolewa tu anakuwa kama gogo
   
 18. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inahuzunisha hii si kidogo yaani.. ila ipo siku watakuja kujuta kwa ujinga wanaofanyaga kwa kuamini kwamba wake zao hawaaoni ila ipo Siku tuuu.
   
 19. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hiyo sio sababu ya wewe kwenda kwenye madanguro na sehemu nyingine kutafuta wanawake tofauti na wake zenu....vunja ukimya ongea na mkeo kwa busara....uamuzi wa kutafuta pengine lazima ukugharimu kama sio leo kesho na kama sio duniani basi Mbinguni..fanyeni tu research ndogo ya watu waishio vema na wake/waume zao na maisha pamoja na watoto wao hubarikiwa sana...sasa angalieni ndoa zenye mausaliti na mahujumu ya kila aina nini kinakuwepo hapo zaidi kusikia mume kamnyonga mkewe,mara mume kapinduka na gari alikua na kimada na balaa mengineyo tuu...WANAUME TULIENI NA WAKE ZENU.
   
 20. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,039
  Likes Received: 8,531
  Trophy Points: 280
  aaha..ndoa kitu gani bana...upuuzi mtupu peoples are supposed to be free from flooshness called marriage
   
Loading...