Mabinti wa Kimanyema wako je?

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Hebu jaribu kumuonja ana ladha gani. then utuambie wanaume tunamalizia.
Kabila la Manyema ni moja ya kabila ambalo bado sijapitia, kumbe ni moja ya makabila 120 bongo ee!
 

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,850
1,244
Umepata mchumba wa kimanyema nini? Binadamu huwa wanatofautiana tabia hivyo ni ngumu sana kuwajaji
 

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,105
2,067
wako kama binadamu wenginena wana tabia zinazifanania binadamu wengine.kwani umeambiwa wanafanania sokwe wa kike au nyani?
 

Baba Erick

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
483
74
Nasikia wanajua majambozzzzzzzzz kama watoto wa kitanga!
ACHA KUPOTOSHA JAMII WEWE TABIA INATEGEMEANA NA INDIVIDUAL also "Tanga nimekaa miaka 5. Tofautisha Kutojidhamini kwa mwanamke na kugawa sana siyo kujua mapenzi ila itabakia kuwa Pwani wana handle mapenzi tofauti sana na watu wa Bara"
 

Rubuye123

JF-Expert Member
Dec 18, 2009
2,292
1,763
wewe kweli ni mmanyema? usije kuwa ni mkongo ukajiita mmanyema kama waha wengine walivyo warundi lakini wanajiita waha.

kauli kama hizi huwa zinanikera...basi tu!si wote wa-tz bana mambo ya kuitana wageni wageni tunaanza hadi kubaguana sasa.mbona rostam mnamwita mtanzania safi!!?huh!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom