Kutokana na uzoefu wako wewe sema hapa!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,231
2,000
Jamani mapenzi nikitu muhimu na mapenzi nikitu chakushikwa kama chupa yenye madini ya nyukilia!!Namapenzi nikitu kigumu kuyahandle hivyo vyote nikuonyesha mapenzi nikilakitu kwenye maisha yetu!Hakuna hasiyejua hili!!
Napenda kufahamu kwa wote ambao mlishaingia kwenye mapenzi na kutoka Je Niyupi hasa anaumia sana pale mwenzake anapomuacha (kupigwa kibuti) wakati anampenda mwenzako!!naukiachwa unajifariji kwa lipi??
 
Nyamayao

JF-Expert Member
Jan 22, 2009
6,968
1,225

anaeachwa ndio anaeumia, mara nyingi muachaji huwa amejipanga/amedhamiria, haina madhara kwake kam kwa anaemuacha....
 
Minimarie

Member
Aug 11, 2011
6
0
Inategemea mlishafika stage gani. Kwani hata anayempiga mwenzie buti anaweza fanya hivyo uku roho inauma
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,231
2,000
anaeachwa ndio anaeumia, mara nyingi muachaji huwa amejipanga/amedhamiria, haina madhara kwake kam kwa anaemuacha....
Sawa lakini kuna ambao huwa hawawezi kustaimili ile mikiki ya kuachwa kati ya mwanaume na mwanamke je ni gender gani inaumia sana akiachwa??wapo wanao achwa lakini anaumia lakini anpoa lakini kunagender zingi hawawezi kuvumilia!!
 
Mtanga Tc

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
235
225
Both happen to be victims of Love...from my school of thoughts,hakuna mwenye unafuu hapo.Labda tu iwe mmoja alikuwa anamdanganya mwingine! If both were really in Love,the breakup will hit both under the belt!
 
ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,121
2,000
Inategemea!! mi nikiachwa kabla cjamfokonyoa inauma kishenzi ila kama tayari wala ht mshipa w **** hauchezi.
 
kibali

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
472
500
anaeachwa ndio anaeumia, mara nyingi muachaji huwa amejipanga/amedhamiria, haina madhara kwake kam kwa anaemuacha....

naungana na wewe nyamayao,muachaji hata kama anaacha kwa uchungu lkn anakuwa ameshajipanga jinsi ya kukabiliana na situation mpya,pia inawezekana anapoamua kuacha ni baada ya kuwa fade up kwa hiyo anapata relief flani tofauti na aliyeachwa! Kwanza kuachwa kubaya lazma maumivu yawe zaidi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom