Kwenye maisha yangu yote ya mahusiano sijawahi kutenda jambo hili.

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
241
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
69,280
136,458
Tyson alikuwa analipwa mamilioni ya dola. We unataka ung'olewe meno kwa ajili ya kugombea mwanamke? Kibaya zaidi mwanamke mwenyewe hapendi wanaume wasio na meno, itakula kwako.
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,354
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.

Unajua unatafuta shari.........wewe mwenyewe hujui tu, ndio maana watu husema kauli huumba.................
 
Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Duh! Hiyo ya kugombana kwa ajili ya mwanamke imepitwa na wakati. Je, una uhakika gani huyo mamsapu wako hatokuwa Shabiki ya adui yako!
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,130
17,936
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.

Ugomvi kama huo kamwe huwezi kuupata kama mkeo atakuwa katika makundi yafuatayo:
1.Halipi yaan namaanisha mbaya
2.Ulilazimishwa kumuoa
3.Muaminifu wa ndani na nje(anajitunza mwenyewe)
4.wewe na mkeo kama mna shutma ya kuwa Mmeathilika na UKIMWI
5.n.k ninayo mengi sana kwa leo kama unataka mengne niite ntarudi.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,370
6,983
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.

ahahahahaaaaaaaaaaa!..mimi sijaoa_hata mimi sijawahi gombana ila kuna jamaa juzi kati ananitishia ataniua eti natembea na demu wake,...nasubiri itakuwaje mkuu.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,370
6,983
Sema wife wako mwenyewe mbaya sa dah cjui km utapata mtu

ubaya ni subjective term i.e mbaya kwako mzuri kwa wengine na mzuri kwako ni hovyo kwa wengine......relax atampata tu mkuu
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,974
1,640
Mbona hamuangalii au kuongelea mambo ya ile kitu roho inapenda. Wengine hata mke awe havutii kwa nje kiasi gani hawajali, lakini kama anamaujuzi, hapo hata kisu cha masaburi lazima akuchome tu
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,313
18,699
ahahahahaaaaaaaaaaa!..mimi sijaoa_hata mimi sijawahi gombana ila kuna jamaa juzi kati ananitishia ataniua eti natembea na demu wake,...nasubiri itakuwaje mkuu.

ni yule aliyejilipua kukuita husband....aaah fundi....tusije kukukosa ujue
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
69,280
136,458
Ugomvi kama huo kamwe huwezi kuupata kama mkeo atakuwa katika makundi yafuatayo:
1.Halipi yaan namaanisha mbaya
2.Ulilazimishwa kumuoa
3.Muaminifu wa ndani na nje(anajitunza mwenyewe)
4.wewe na mkeo kama mna shutma ya kuwa Mmeathilika na UKIMWI
5.n.k ninayo mengi sana kwa leo kama unataka mengne niite ntarudi.

mashikolo mageni by nature
 
Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
256
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
Kwa maana hujawahi hata kuhisi chochote kwa mkeo? Basi ujue ni mwizi mzuri....!
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
37,258
41,289
nakuambia ambalo ulikuwa hulijui kuhusu mkeo: alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na yule mfanyakazi mwenzako ambaye ni juzi tu alitwaliwa ktk maisha haya kutokana na ugonjwa ambao haujulikani vizuri, ila alifanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja wa kiume.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom