Natafuta msichana wa kutoka nae nyakati za weekend...

Amyner

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
2,398
847
Ombi lako halijajitosheleza ndugu, unatakiwa u specify interests zako ili mtu ajue kama na yeye anaweza cope na wewe.. waweza pata company and end up having the worst weekend ever!!
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Kuanzia mtaani kwenu hadi kazini umekosa wasichana/wanawake!
Umri ulionao unashindwa kutafuta msichana/mwanamke hadi uje jf?
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,578
728,446
MIMI NI KIJANA NINA MIAKA 27, NATAFUTA BINTI WA KU-ENJOY NAYE NYAKATI ZA WEEKEND (ASIWE ABOVE 32 YEARS).

KILA KITU NI JUU YANGU.

pole sana...............................kujienjoy tu ndicho wataka..................................pole sana............life is more than that.........
 

Bwanga

Member
May 26, 2010
46
6
ombi lako halijajitosheleza ndugu, unatakiwa u specify interests zako ili mtu ajue kama na yeye anaweza cope na wewe.. Waweza pata company and end up having the worst weekend ever!!

hapa ni kutembelea beach, pombe kidogo na sex. Na mengine ya kawaida ili mradi ni good time .
 

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,360
11,568
MAMBO VIPI MARAFIKI,

MIMI NI KIJANA NINA MIAKA 27, NATAFUTA BINTI WA KU-ENJOY NAYE NYAKATI ZA WEEKEND (ASIWE ABOVE 32 YEARS).

KILA KITU NI JUU YANGU.

NIPO SERIOUS KWA HILI (AM NOT JOKING)

ALIYE INTERESTED ANITUMIE E-MAIL:

moyompweke@yahoo.com


THEN TUTABADILISHANA MAWASILIANO MENGINE.
nipo nipo welcome nipe time table
 

khayanda

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
247
25
Unataka wa kuenjoy naye weekend halafu umuachie nani? Umalaya tu huo kama unatafuta, tangaza, kama huwezi tafuta watu watakusaidia, mbona hapo kale wazazi wetu ndiyo walituelekeza na kuchagulia? Ukishindwa kushibana naye utatueleza na mapungufu yake ili na sisi wengine tusijeangukia huko? Be serious wa kuenjoy nao wapo sehemu nyingi na ukipagawa waweza fikiria umeshibana naye nenda Club San Siro au Ohio street utawapata ujipimishie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom