Asanten sana wana JF kwa ushauri wenu,nimefanikiwa kumaliza tatizo na x bf wangu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asanten sana wana JF kwa ushauri wenu,nimefanikiwa kumaliza tatizo na x bf wangu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Cantalisia, Oct 4, 2011.

 1. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nilileta uzi hapa usemao;'Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu'.Nashukuru nilipata mawazo mengi sana kutoka kwenu,na jtano iliyopita nikayatumia kwa kuwafuta maraki zake 2 wanaommudu nikawaeleza situation nzima,kesho yake wakaonana nae wakataka kujua kwanza 7bu za yeye kunifanya vile akawaambia ananihitaji kwa garama yoyote kwana ndoa yake haina aman na mkewe karudi kwao alimpiga mpaka mimba aliyokuwa nayo ikatoka na wazazi wa mke wamemwambia akachue mahari yake so akaona mtu pekee wa kuweza kumwelewa na kuishi nae ni mimi ndio maana yuko radhi kwa lolote ili mradi turudiane,wakamwambia poa asinisumbue tena kwa vitisho wao wataongea na mimi.

  Ijumaa tukakutana tena na wale marafiki zake na kujadili tutumie njia gani, basi nikawapa wazo niliipata humu ya kuwa tutafute cheki cha kuonesha nimeathirika ajue hatuwezi kurudiana,kweli wale marafiki zake wakakubali mmojawao ana rafiki yake ni daktari akaongea nae jana akapata cheti tena chenye tarehe ya mwezi wa nne na kinachoonyesha nimeathirika na ninahudhuria cklinic.

  Basi jana jioni tukenda nyumbani kwa mmojawapo wa wale marafiki zake na yeye akaja wakamwambia wameongea na mimi nami nimeomba nimjibu maombi yake mbele ya rafiki zake, nikaanza kwa kumpa pole na matatizo ya ndoa yake then nikamhadithia kuwa nilipoachana nae nilipata bwana akaniambukiza ukimwi na sasa naumwa nikamwonyesha na vyeti vyenye maelezo ya kuugua kwangu,pale ilibidi nivute hisia mpaka machozi yakawa yanatoka ili aamini,basi kusikia vile alistuka yani akawa kama amechanganyikiwa flan akawa ananitizama kwa woga, alisikitika sana na akajiona yeye ndio alisababisha kwan tusingeachana nisingepata hayo matatatizo.


  Kwa kweli alijutia sana na akaniomba nimsamehe na akanishukuru kwa kutolipiza kisasi kwan ningeweza kukubali turudiane ili nimwambukize,kwakweli tangu mda ule alikosa amani alikuwa mwoga,hata maneno yakawa yanakatika katika akiongea,akaniahidi pale pale kuwa hatarudia tena kunisumbua kwa namna yoyote ile na kuanzia cku ile ataniheshimu sana kwan nimeyajali sana maisha yake kwa kuwa mkweli kwake,akanitaka niwe na amani kabisa,hata kama nikipata mwanaume atakaeridhika kuwa nami ktk kuugua kwangu yeye ameridhika kabisa na wala hatanifatilia tena,tukamaliza kikao yeye akasema kuna mahali anawahi so akaondoka akatuacha, kwakweli atulicheka sana alipoondoka kwani jamaa aliogopa hata kunipa mkono tuagane,wakuu nashukuruni sana sana kwani sasa nina aman tele moyoni,mungu awabariki sana.
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mhhh!!! Haya mapenzi haya
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  huyo daktari atarudi kudai asante yake lol
  trust me
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mh! jamani mimi sikubaliani na njia uliyoitumia kumkwepa huyo jamaa, kujipakazia ugonjwa haifai kabisa dada yangu,, bora ungetafuta njia nyingine kabisa mimi mwenyewe kuna mtu alikuwa ananisumbua nilipoona anazidi nikawa hata sipokei simu wala kujibu email, sms zake na nikamwondoa kabisa kwenye list ya marafiki Facebook baada ya kuona niko serious si respond kila anachofanya yeye mwenyewe akaniandikia ujumbe sitakusumbua tena sikumjibu nikakaa kimya mpaka leo akiniona anabadilisha mpaka njia...
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Samahani inshu yako siikumbuki, ulisema umeolewa ila jamaa alikuwa anataka mrudiane?
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  umenipa hamu ya kukusumbua aisee...uko tayari?lol
   
 7. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hawezi bwana ni mtu wanaheshimiana na alikuwa ameridhika kunisaidia.
   
 8. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  NO, Wala sitaki kabisa.
   
 9. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mshukuru Mungu sana bibie, ila "wasumbufu" bado tupo
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  nilikuwa namwambia lola..
  na wewe naona sitaki nataka lol
   
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  No, tulikuwa wapnz kwa miaka 2, akawa cha pombe wa kutupa tukagombana tukaachana,akapata mwanamke mwingine akaoa,ggafla akaanza nitishia nisiwe na bf tena kwan yeye anataka turudiane na nikawa kila nikiwa na bf mwingine anawataka kuachana na mie kwani bado ni mpnz wangu,ndio nikaja kuomba ushauri humu.
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Na kweli namshukuru mungu sana mkuu.
   
 13. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,202
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  hop hukusoma kisa chake ungesoma ucngemlaumu coz alifanya km we ulivyofany lkn haikusaidia.
   
 14. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,202
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  hongera kwa ujasiri wako dada. Bora kakuachia maisha yako
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Niliamua kutumia njia hii kutokana na mtu mwenyewe,hope mungu atanisamehe kwa hili kwan nia yangu ilikuwa kutafuta amani ya moyo wangu kwa namna ambayo isingenipa madhara wala kumdhuru mwingine.
   
 16. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu,ujasiri huo nimeupata humuhumu jf!
   
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sorry The boss.
   
 18. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmmh! Best hatari lakini salama! Basi kimyaa asije skia umemdanganya!!
   
 19. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  hapo sasa mkuu...kazi na dawa
   
 20. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Umejuaje! yani hapa ni kimyaaaaaaaa!,mzima lkn?
   
Loading...