Msichana kumzidi kisomo mtarajiwa wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msichana kumzidi kisomo mtarajiwa wake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kishanshuda, Oct 5, 2011.

 1. k

  kishanshuda Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nimemzidi kisomo mtu ambae ananipenda na kunijali sana na namuona ananifaa kuwa mwenza wangu maishani, mimi nakaribia pata mastesr wakati mwenzangu hata certificate hana. Ila ni mtu ambae tunajuana vizuri na ni kwa muda mrefu sasa, though hatujakuwa karibu kimapenz kwa muda pia.

  Jambo hili la ndoa na yeye lilijitokeza kama wiki liyopita hivi tulipo onana ana kwa ana na kuongea mengi likiwemo hili la ndoa, na tulipofikia kuhusu elimu ye akasema anataka aanze soma serious sasa coz umri umeenda na anashindwa fanya mambo mengi ya maendeleo kutokana elimu hiyo.

  Na katika maongezi na majadiliano nae tumefikia uamuzi wa yeye aanze degree ambayo itamchukua miaka mitatu hadi amalize na ndipo tuweze oana na hata aweze endelea na elimu yake pia zaidi.

  Ila napata utata kidogo katika mambo yafuatayo, kwanza naona miaka mitatu ya kusubiri ni mingi , pia napata wasiwasi kuwa anaweza pata mwingine na kubadili mawazo wakati me nimekaa muda wote namsubiri yeye, sasa hapa nachanganyikiwa na hata sielewi.

  Naombeni ushauri wenu wadau walau nijue nifanyaje katika hili
   
 2. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  hana hata certificate then anataka kusoma dgree? au mimi cjaelewa hapa certificate gani unazungumzia?
   
 3. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kama mmeridhiana, oaneni kwanza na shule ataenda tu
  na kwa kuwa hana hata certificate, inamlazimu aanza na F4 kwanza so bado ana safari ndefu
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Elimu na ndoa ni vitu viwili tofauti hicho naomba uelewe, elimu doesn't guarantee you that utakuwa na ndoa au familia iliyo bora so kama mmeamua kuoana just go ahead msianze kuweka vikwazo sijui hadi asome awe na degree au masters, afterall anaweza kuendelea kusoma baada ya nyie kuoana
   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  anaweza kujiendeleza mkiwa kwenye ndoa
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  elimu itolewayo na mwanadamu wala haina maana ni ubabaishaji tu tafuteni ya Muumba tu............................John 6:45 & Isaiah 54:13
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  kwani yamekuwa mashindano?
  Nina jamaa yangu wa karibu mkewe ana PHD hapahapa A-Town......................naye yeye alikuwa kidato cha nne ..........na sifuri tu.........siku hizi anahangzika kupata BBA anasema safari imeanza.........kaacha shughuli zake za maana anahangaika na mambo ambayo wala Muumba hakumwandikia..............................matokeo yake anafeli kazi kununua mitihani ili apate cheti cha kututambia mtaani..........
   
 8. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani elimu ina uhusiano gani na mapenzi?Au alikuambia kua na elimu ndo kua ma maisha bora ni nani?Ikiwa unampenda from the heart naye anakupenda,piga nae pingu.Wasi wasi tena wa nini endapo yeye atakuwa masomon kwa miaka mitatu?Je nawe ulipata mtu pia?Na kwanini kama ulipata usiwe mkweli kwa mwenzi wako!Anzeni harlati za NDOA!
   
 9. e

  emrema JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtaanza kinafiki mkidhani mnapendana ila itafika point mtofautiane kiupeo. Elimu ina mata sana usijidanganye lazima mlingane au msitofautiane sana. Kingine kwa jamii zetu za kiafrika ambapo mume ni mbabe ni wazi itabidi uchague kuzika uwelewa wako au umwombe mungu mumeo awe mwelewa sana.
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahaha!!! Ruta imenibidi nicheke tu
   
 11. k

  kishanshuda Member

  #11
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  aliishia form 6 akaenda depo CCP
   
 12. k

  kishanshuda Member

  #12
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  nashukuru kwa kuweza nielewa elimu ina'matter jaman hasa kwa maisha haya ya sasa hivi ahhh,
  , me naweza kubali na tukafanya kila kitu hata tukawa mke na mume, ila yaweza kuwa me nikafanya jambo jema tu kwa mema ila sababu ya hiyo elimu ikawa utata coz it happens na watu yanawakuta hayo, hata ukiamua uamuzi mzuri tu na kwa mema tu itaonekana tu unajidai au unafanya kwa sababu ya elimu yako
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  yaani weye wcha tu.......................watu wanahangaika bila ya kumwuliza Muumba hivi aliwapangia nini?

  kila mmoja ana vipaji vyake na huu mfumo wa shule wa kulazimisha wote tufanane bila ya kuujua huu ukweli ndiyo mwanzo wa kuua vipaji au kushindwa kuvitambua...........
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwanini unausemea moyo wa mwenzio au haujiamini au umeishaona yeye hajiamini??
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  unachanganyikiwa nini..........if he is worthy the wait why not surrender your youthfulness for just that.........................otherwise begin craning your neck and be vigilant...................there could be a neighbour dying for your "endless love" whom you have not noticed so far because of wasting it all on that loser...............

  hakuna uhusiano wa masomo na shule.....................kama yuko tayari na we pia mtindo mmoja basi fungeni kufuli la milele kwanza halafu shule itajijua mbele ya safari mkiwa wote.........kama hawezi ujue huyo ni balaa kwako.............kwani he was not made for you....... keep on looking until Mr. Right shows up with his genial grin.............
   
 16. k

  kishanshuda Member

  #16
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ni tahadhari tu mapema , coz these sheet happens jaman, tuende practically, na c theoretically, siusemei moyo ila najaribu cheki na hali halisi iliyopo
   
 17. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeongea vyema sana
  Sijui anachompendea huyo dada ni elimu yake au anampenda yeye kama yeye without hayo macertificate atakayoenda kutafuta
  Eklimu haina mwisho na kama ni mkeo unayependa hata mkishaoana na hicho kisomo alicho nacho ni wajibu wako kumuendeleza na afikie malengo yake
  Sidhani kama kuna haja ya wewe kusubiri mpaka apate degree maana wapo waliolewa wengi na wanasoma wakiwa na familia zao
  So wewe jipangeni na mpendwa wako muendelee na mipango ya ndoa na then baada ya hapo anaweza kuendelea na kusoma
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Thread Closed lol
   
 19. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo ni polisi kwa sasa?
   
 20. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Tuliza munkali mimi mke wangu ana degree(ana mpango wa masters) lakn mie nimeishia darasa la nne_heshima mbele na mambo mengine yanakwenda kama yalivyopangwa...labda uniambie huyo mpenzi wako hajiamin na hajitambui kwa nafasi yake hapo ndio itakua chimbuko la matatizo....lakn suala la elimu sio issue ki hivyo
   
Loading...