Mapenz yanaumiza

nyie selection zinawasumbua sana na bado mtaumia sana. Find your match, wewe unajua dunia ilivyo unaenda unachaguia msiuchana ambaye kila akipita hata aliyekuwa amesinzia anaanza kumsindikiza na macho mpaka anapita unategemea nini na the other way round. yule ukimboa kidogo anabembelezwa mara 7x70 huko kwingine
 
<br />
<br />
Mkuu hii nimeipokea kwa mikono miwili, ni bora kuchagua wa hali yako... lol
 
samehe kama unahsi na wewe una mapungufu ambayo utahitaji kusamehewa muda wowote!! ukishindwa karibu katika ulimwengu wa Single boyz & girlis
 
Back
Top Bottom